Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12).
Nje ya mada. Ni sawa kwa mtu asiye mtanganyika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika?
Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN.
Kizazi hicho kimeanza kufutika katika uso wa nchi badala ya ISRAEL.
Kuanzia ajali ya Helicopter iliomuondoa IBRAHIM...
Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar.
Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe.
Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan
Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi.
Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais...
Mpo salama!
Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani.
Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri.
Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar.
Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu.
Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
📢 UWEKEZAJI WA KIPEKEE: BITNEST NA BITLOOP! 🚀
Je, unatafuta fursa ya kufaidi kwa kasi na kwa uhakika katika ulimwengu wa DeFi (Decentralized Finance)? Bitnest inakuletea mfumo wa kipekee wa uwekezaji wenye faida kubwa na salama kupitia bidhaa yake ya Bitloop!
### 🔹 KWA NINI BITNEST?
✅...
UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21
Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
afrika
china
maendeleo ya kisayansi
mafunzo kwa tanzania
mapinduzimapinduzi ya nishati
marekani
mionzi salama
molten salt reactor
nguvu
nishati mbadala
nyuklia
Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao.
Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu.
Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia...
Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya...
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda.
Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.