Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini?
Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!?
Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni...
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kikubwa sana . Kutokana na ukubwa huu ni rahisi sana kutokea misuguano ndani kwa ndani kwani kuna watu wa kila aina. Utaratibu uliotumika kipindi hiki umeweza na unakiacha chama kikiwa kimeimarika sana.
Kila mmoja alishuhudia kwa uwazi jinsi mchakato...
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5...
Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa
Na John Jayros
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI).
Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance...
Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua..
Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
The phrase "kujikosoa, kukosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi" (self-criticism, criticism, and mutual criticism are the tools of revolution) emerges in Tanzanian political discourse as a recognition of criticism's transformative power, while also highlighting tensions around its application...
Amani iwe nanyi Wana Jukwaa ,
Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake.
Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi.
Kiongozi huyo wa kijeshi, ambaye ametwaa utawala kwa nguvu mara mbili, aliahidi kurejea kwa demokrasia mwaka jana, lakini hilo...
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
"Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu."
“Mytake”
Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu .
Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda.
Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia .
Na kuonesha kuwa...
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.”
Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...
Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12).
Nje ya mada. Ni sawa kwa mtu asiye mtanganyika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika?
Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN.
Kizazi hicho kimeanza kufutika katika uso wa nchi badala ya ISRAEL.
Kuanzia ajali ya Helicopter iliomuondoa IBRAHIM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.