mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mapinduzi ya Guinea Colonel Mamady Doumbouya aifuta katiba iliyokuwepo

    Amesema katiba iliyokuwepo haikuwa chaguo la wananchi na ilikuwa kandamizi , ameifutilia mbali huku akiandaa mipango ya kuanzisha mchakato wa Katiba ya wananchi itakayokidhi matakwa ya wananchi Askari huyo Mkakamavu na ambaye alikuwa MBEBA MWAMVULI wa Dikteta Alpha Conde kabla hajapinduliwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  3. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Chama Cha Mapinduzi kinajiamini na kujitegemea kifikra

    SHAKA HAMDU SHAKA: CHAMA CHA MAPINDUZI KINAJIAMINI NA KUJITEGEMEA KIFIKRA. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uwezo wa viongozi na makada wa chama hicho unatokana na utayari, uthubutu na kuujua umma unataka nini, kwa wakati upi na namna ya kutimiza mahitaji husika kulingana na changamoto...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapendekezo: Jinsi Chama cha Mapinduzi kinavyoweza kuwaandaa viongozi waadilifu

    CHAMA CHA MAPINDUZI UONGOZI ONLINE COURSE Chama cha mapinduzi ni chama cha kisiasa nchini Tanzania kilichoundwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kutoka Tanganyika na Afro Shiraz Party kutoka Zanzibar,chama cha mapinduzi ndio chama tawala...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi, umefanya mapinduzi. CCM wanalilia mic kwenye space waongee

    Vyombo vyote vya habari vipo mikononi mwa CCM, ana mamlaka yakusema na kufanya atakavyo. Baada ya kubana vyombo hivyo visiwe na mdahalo huru Maria Sarungi amenzisha mdahalo kupitia mtandao 'space'. Huu umekuwa zaidi ya mkutano wa adhara kwa sababu watu zaidi ya elfu tano wanakusanyika kusikiliza...
  6. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini kinaitwa Chama cha Mapinduzi? Ni mapinduzi gani kimeyafanya?

    Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar. Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika. Kama kuna anayeweza kuelewesha...
  8. JamiiForums Tanzania Elimu bora itakayoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

    ELIMU BORA ITAKAYO FANYA MAPINDUZI YA KIUCHUMI TANZANIA Neno elimi lina dhana pana sana ki maana, wapo walio sema elimu ni dira, elimu ni ufunguo wa maisha n.k Kwa maana hiyo basi elimu ni mchakato ambao maarifa, tabia, mila na maadili ya jamii moja hupitishwa kwa ajiri ya kizazi kijacho...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika Muziki, Michezo na Kilimo ili kukuza Uchumi kwa Vijana wa kitanzania na Taifa kwa ujumla

    Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa. Je tatizo linatokea wapi mpaka ongezeko la vijana wasio na ajira kuendelea kuwa kubwa? Katika uchumi kuna kitu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna fikra bora na uhuru wa kusema vitavyochochea mapinduzi ya kiuchumi kwa jamii ya Watanzania

    Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa mada nyingine katika uwanda huu wa ‘uhuru wa fikra na kusema’ na namna zinavoweza kuleta mapinduzi...
  12. JamiiForums Tanzania Tambua kwamba: Ahadi za wanaChama Wa Chama Cha Mapinduzi

    TAMBUA KWAMBA:- 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰 AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja. (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote. (3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. (4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

    Habari za Leo wakuu, Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM. Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
  14. JamiiForums Tanzania Hili jengo lilijengwa Budapest Hungary 1910 kabla ya Mapinduzi ya Kijamaa

    Eclectic reception area under a glass dome in Párisi Udvar(Paris Court), a former bank building built in the 1910s which was recently restored and renovated into a luxury hotel in downtown Budapest, Hungary.
  15. JamiiForums Tanzania Kiongozi atakayefanya mapinduzi sekta ya usafirishaji atatukuzwa na wananchi wengi

    Eneo lilikosahaulika hapa nchini ni usafirishaji. Hali ni duni kwa Watanzania wengi tumeendelea kuamini kumiliki daladala ili kupata kipato jambo ambalo sio bali kuwatesa wanyonge. Eneo la usafirishaji wa umma (daladala, bodaboda, bajaji, taxi, meli na vivuko) kuna tatizo kubwa. Kwa mfano...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika inarejea katika zama za mapinduzi?

    Afrika ya zama za Mwl Nyerere, Nkrumah, Jomo Kenyatta, Mobutu Seseseko, Augustino Neto. Tulishuhudia mapinduzi kila uchao sababu kubwa ilikuwa pengine uchanga wa nchi husika, maslahi ya wakoloni, upendeleo katika ugawaji wa rasilimali na nk. Kidogo Afrika ilipumzika katika zama za mapinduzi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  18. JamiiForums Tanzania Mali yasimamishwa Uanachama wa ECOWAS kutokana na mapinduzi

    Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS wametangaza kusimamisha uachama wa Mali baada ya jeshi la nchi hiyo kufanya mapinduzi ya pili ndani ya miezi tisa. Viongozi wa nchi wanachama wa ECOWAS wakishiriki mkutano wa dharura mjini...
  19. JamiiForums Tanzania ECOWAS yatishia kuirejeshea Mali vikwazo. Mapinduzi ya pili ndani ya miezi 9 kujadiliwa

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeonya kuwa inaweza kurejesha Vikwazo Nchini Mali kufuatia Kanali Assimi Goita kuchukua madaraka. Kanali Goita ameitwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Viongozi wa Afrika Magharibi Nchini Ghana ambapo mapinduzi ya pili ya Mali katika miezi 9...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Charles Maurice de Talleyrand: Mtu aliyeongoza mapinduzi mawili, akawadanganya wafalme 20 na kuanzisha bara Ulaya

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Charles Maurice de Talleyrand, mmoja ya watu mashuhuri katika shitoria ya ufaransa na Ulaya Mwanamfalme wa Benevento na Dola, Mwanamfalme wa Talleyrand na Périgord, Duke wa Dino, Muhasibu wa Périgord, Rika la Ufaransa, Duke wa Talleyrand na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…