Sasa sikia kaka, kama ulikuwa na redio ya betri au home kulikuwa na deck, halafu muziki unaopigwa ni wa Oliver N'Goma, Monique Séka au Mbilia Bel – basi bila hata kujua ulikuwa unasikiliza kazi ya Manu Lima, yule jamaa mkali aliye-produce midundo ya kukata mauno, kutema mistari ya kihisia, na...