mapenzi

  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  2. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna kiu/dhana mapenzi

    Kataa ndoa wapo sahihi miaka dahari.Asubuhi ya leo nimeamka na tafakuri kuhusu dhana nzima ya mapenzi na mahusiano. Katika tafakuri yangu nimeona ya kwamba neno mapenzi lipo kisiasa zaidi lakini hakuna binadamu anaweza kulitenda ipasavyo. Mwenye kupenda ni Mungu maana Mungu atakupenda kwa...
  3. MIHULU

    JamiiForums Tanzania Hivi kuumizwa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

    Wakuu ,,,hivi mwisho wa mtu KUUMIZWA na MAPENZI ni miaka MINGAPI?.. Mimi sasa naona nimezidisha over 30yrs na bado nasagishwa rumba napelekwa mpera mpera!....
  4. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Greyson Babishomba awapa tip wanaoteseka na mapenzi: Zibeni tundu moja la pua

    Wakuu! Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi "Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa na kuondoa msongo wa mawazo"
  6. MjukuWaBabu

    JamiiForums Tanzania Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000

    Nasemaje MAPENZI NI UZWAZWA..... Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000. Nimekula mara ya kwanza ,ya pili juzi hapa mara ya 3. Dogo mtamu balaa... Yaani asali mbichi bila maji. Kitumbua inabana balaa sio kama zile za MISHANGAZI zinazo nyampaaa... Sasa juzi banaaa...
  7. SwahiliFlirt

    JamiiForums Tanzania [SIMULIZI] Yule Ex Aliyeniumiza Vibaya Amerudi Kama Adui Yako Kibiashara... Utamfanyaje? - Agano Lililovunjika!

    Habari zenu wanajamvi wenzangu! Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako, lakini dunia, familia, au hata uoga wako mwenyewe ukasimama kati yenu? Umeshawahi kujiuliza "what if?"...
  8. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Kufumania, wivu wa mapenzi na drama kama hizo ni ushamba wa karne ya 21

    Nimejaribu kufatilia kwa muda sasa na pengine ni sahihi kabisa na baadhi ya jamii za kale zilielewa haya mambo in deep tofauti kabisa na wanaojiita wasomi wenye madegree na maPhD ya kileo. Jamii kama Wamaasai hawa viumbe wako soo real katika swala la kuzagamuana na kula mbususu.Imagine mwanaume...
  9. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  10. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenitesa nasema sasa basi

    Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakulungwa hii inaitwaje Kiufundi?

  12. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 3: nani alivunja rekodi yako ya raha?

    Muendelezo wa simulizi za maisha yangu ya ujanani na mapenzi. Leo acha niwasimulie kuhusu kijana aliyevunja rekodi zangu za raha, akanivuruga kidogo nichanganyikiwe - pia nakujibu swali lako @ 26 Life ******* Pita pita huku na kule nikakutana na huyo mkaka, nikamdate na ndiyo akawa...
  13. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  14. Donatila

    JamiiForums Tanzania Mastar wa wanateseka na mapenzi, Tuwashauri

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa, Mastar wanavyoteseka na mapenzi... Tuanzie hapa BONGO kwetu, BONGO kama BONGO, yaani ukija kwa wasanii wakubwa kama ZUCHU analia jamani huko anapigwa matukio kisawasawa... Pamoja na U STAR wake yaani hana furaha na malovee, kashapigwa tukio...
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wenye Guest House na Lodge Siye Tunaochepuka na Wake za Watu – Tunaomba Muondoe Magrill Madishani!

    Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI! Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchawi kwenye mapenzi

    Hawa wanawake hawa aseoee
  18. R

    JamiiForums Tanzania Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  19. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa. Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa. Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi? Ladha tofauti za kipochi...
  20. Surya

    JamiiForums Tanzania Hizi hatua za kupenda kila mtu anazipitia ?

    Hizi hatua sijui kama wengi wanazipitia, na pia wapo wanaokwama kwenye hatua moja muda mrefu. i. Just look at a girl. Unampenda manzi fulani lakini husemi, wewe nikumzoom tu. ii. Hug a girl. Nahitaji kukumbatia msichana, hapa kuna wengine walianza wakiwa darasa la sita na saba, watoto wazuri...
Back
Top Bottom