Hizi hatua za kupenda kila mtu anazipitia ?

Hizi hatua za kupenda kila mtu anazipitia ?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,001
Reaction score
16,207
Hizi hatua sijui kama wengi wanazipitia, na pia wapo wanaokwama kwenye hatua moja muda mrefu.

i. Just look at a girl.
Unampenda manzi fulani lakini husemi, wewe nikumzoom tu.

ii. Hug a girl.
Nahitaji kukumbatia msichana, hapa kuna wengine walianza wakiwa darasa la sita na saba,
watoto wazuri wanaopenda kukumbatiwa siku za jumatatu hizi after weekend.

iii. Touching a girl.
Hapa mimi nilianza tabia ya kwenda disco toto tangu darassa la tano.
hadi nafika sekondari, nimekua nikipenda mziki sana
coz kushika viuno ilikua raha isioweza kuelezeka. sikuwahinkukosa disko la shule, na shule yetu tulikua tunaenda na nguo za nyumbani, fashion kama zote. Upo form one, unacheza na wadada wa form three 🫵🏾🥰

iv. Baada ya kumaliza sekondari,
Picha za ngono na masturbate.
hapa ni kujipimia tu 😂

v. Sex kwa mala ya kwanza at 18 Year ages.
siku hiyo ni siku ya kufanya uonekane na wewe umewahi kufanya, basi usikie vyenye ni tamu kiasi gani.

vi. You start chasing different ladies.
hapa unaanza kutafuta mabinti kuona yupi anafaa zaidi unajikuta mikasi mingi, bila kumpata wa ubavu.

Mwisho kujumlisha na hustler za maisha, unawajua wanawake vizuri kabisa na madhaifu yao.

Ukiacha kuvurugwa na Muonekano wa mwanamke na kuanza kufatilia tabia na hitikadi zake means character ya mtu hapo ndio tunaita umekomaa kidume cha mbengu.

Natamani na mtoto wangu wa kiume apitie hizi hatua kama mimi, nitampa support na kumtia moyo.

Kind Love

Kiukweli Mwanzo wa hisia, zinakua kali sana, siwezi kuelezea sana,
lakini kuna wengine walizichapa hadi ngumi mashuleni kisa mapenzi.
 
Daah, umenikumbusha mbali.

Kuna mwanamke alinitongoza sekondari 2006 nikamkataa; aliumia sana.

Ajabu wiki iliyopita, alikuwa ananitafuta kwa fujo sana fb; yaani miaka 19 imepita ila bado hanisahau na minuno kama yote!
 
Daah, umenikumbusha mbali.

Kuna mwanamke alinitongoza sekondari 2006 nikamkataa; aliumia sana.

Ajabu wiki iliyopita, alikuwa ananitafuta kwa fujo sana fb; yaani miaka 19 imepita ila bado hanisahau na minuno kama yote!
Manzi aliyenikufia sekondari form 2 alinitafuta nikiwa chuo tukayajenga kidogo 😁😁😂
 
Back
Top Bottom