mapenzi

  1. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

    Habarini wakuu Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka. Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri. Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, kutoshiriki mapenzi ni chanzo kikubwa Cha ugonjwa wa Afya akili

    Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo. Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla. Tukubaliane waanga wengi ni wao Muhimbili...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni kama moto yanayakiwa yachochewe ili yaimarike zaidi

    Mapenzi ni kama moto , moto ukiuchochea unakolea zaidi na usipouchochea unazimika , kuna mambo unatakiwa uyafanye ili kuzidisha nguvu kwenye mapenzi yenu yazidi kuimarika yawe bora siku hadi siku .
  4. T

    JamiiForums Tanzania Usitumie muda wako sana kwenye mapenzi, watu wana watu wao

    Tumia muda wako kufanya kazi na siyo kuhangaika na mapenzi. Unakutana na pisi kali unaomba namba unaanza kuwa busy nae we unadhani ameonekana na wangapi kabla yako na ni wangapi wanaomtaka . Punguza kupenda sana watu wana watu wao, unayempenda sana naye ana mtu wake anayempenda sana. Cheza...
  5. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume mtu nzima mwenye mke na watoto unachanganyikiwa na Mapenzi?

    Hivi hii imekaaje? Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo? Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ukimaliza kuanika Uozo agenda ijayo iwe tunatokaje kwenye Mkwamo huu tukiwa salama

    Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono! Thanks ulisema uko hata hapa...
  7. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  9. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Nikama soko la mahusiano, mapenzi na ndoa huko duniani limepungua sana

    Ndugu. Kataa ndoa kuna namna kama wameshinda hii vita pamoja na ile vita ya single maza. Huko duniani kila nikiangaza huku na huko sioni tena pear pear zikiongozana na kwenye maboma huko kusikia mtu ana oa na kuolewa ni mtihani sana. Wanawake wapo wenyewe wenyewe huku wanaume na wao wapo...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Aibu ya mapenzi

    Kama mnavyojua Sekta ya Mapenzi ndio sekta tukufu kupita zote.. experience matter more.. Kuna Class mate wangu wa sekondari tulikutana chuo japo yeye alienda Advance mimi sikwenda, Alinikuta College nikawa kama Senior (mwenyeji) wake..kimtindo Tukiwa chuo uhuru wa manyani, nikachati nae sana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nini maana yake? Kuota unafanya mapenzi

    Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama ni sahihi Kila mtu anatafsiri yake ya ndoto Mfano redioni siku hizi hata station kubwa hapa bongo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dadaz, Ni kitu gani so unhinged umewahi fanya kwa ajiri ya mapenzi?

    Okay my dadas, kwanza kabisa habari zenu :) kama tunavyojua, kila mmoja wetu hapa ana story za ajabu kuhusu mambo waliofanya kisa mapenzi. Some are wild, wengine funny, weingine cringey, na wengi wetu (mimi nikiwemo) embarrassing lol!🤣 lakini this is not a judgment zone, WE LISTEN & WE DON'T...
  14. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi

    Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
  15. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu tafadhali acha kuteseka kwa ajili yetu sisi wajinga

    Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka siku za kesi pekee, lakini shauri likihairishwa tunarudi kujifungia kwenye vibanda vyetu kuendelea na...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa. ''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
  18. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

    Wakuu, Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto. Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
  20. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

    Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu? Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani? Pia kwa nyie wanaume, wake / wapenzi wenu huwa wanawafanyia nini cha kuwanogesha? Huyu wangu mbali na kunifanya nirushe...
Back
Top Bottom