MUNGU umeumba vitu vyote kwenye ulimwengu huu,ukavitakasa na ku vibariki lakini Kati ya viumbe vyako vyote,kuna huyu kiumbe bin Adam, ulimuumba kwa namna ya pekee kabisa,
Kuanzia body appearance nikimaanisha utendaji kazi wa viungo vyote pamoja na kumpa akili na maarifa. Pamoja na yote hayo,ipo...