mapenzi

  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  2. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Zanzibar natokaje nawauliza mi natokaje, walimwengu natokaje

    SEHEMU YA KWANZA 1 Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty. Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
  3. Twilumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF. Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda. Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku...
  5. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kumpa mpenzi hisia kali za mapenzi

    Mapenzi ni matamu sana ukipata anayekupenda na kujali hisia zako. Embu tupunguze kidogo haya mawazo ya nchi yetu maana yamekuwa mengi tulifreshi akili kwa mambo matamu na mazuri ya kimahaba. Nakupenda zaidi ya unavyoweza kufikiria. Wewe ni furaha yangu ya kila siku. Ukiwa mbali nahisi upweke...
  7. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na wale waandamanaji ni nani mwenye mapenzi na Tanzania?

    Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote" Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
  8. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Dah sasa hivi mbususu zinalika kihuzuni huzuni :(

    Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu. Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo hayaendi sawa hata mbususu haziliki na zikilika, zinalika kinyonge. Kwanza nguvu ya kula chakula cha usiku...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad alikuwa kwa usiku mmoja anafanya mapenzi na wake zake wote 9

    Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa): Tafsiri: Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  12. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Sema watoto wa sikuizi

    Hello Jf members👋 Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  14. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu "Nakupenda pia". Yaliyonikuta sio poa

    Kwema wakuu, heshima mbele! UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi. to be continued....
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Madogo mliomo JF chukueni mbili tatu kuwahusu warembo ili iwasaidie katika safari yenu ya mapenzi

    1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri. 2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane...
  16. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

    Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye kufanya mapenzi, wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume

    Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume. Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno ambalo hukuwahi kulisikia utalisikia.
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Tabia ya nyota zote kwenye mapenzi

    Tabia ya nyota (au zodiac signs) kwenye mapenzi Nyota za Moto (Fire Signs) Aries, Leo, Sagittarius Aries (Machi 21 - Aprili 19) Mpenzi mwenye nguvu, mchangamfu na anayeongoza. Huangukia mapenzi haraka lakini pia hupoteza hamasa haraka. Anapenda ushindani na changamoto. Leo (Julai 23 -...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

    Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Stan Bakora kupiga magoti kama hivi mapenzi kwa Chama au ni njaa kama Faiza Ally alivyosema?

Back
Top Bottom