Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

Sossi

Senior Member
Nov 9, 2022
159
200
Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa.

Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo anachoshwa na usummbufu wa Jamaa anaamua kukwambia kila kitu, Wakati mwingine akimtumoa ujumbe anakupa simu uchati naye.

Jamaa anakomaa analazimisha warudiane kwa siri, siku ya siku mkeo akiwa safarini Jamaa anaanza kumtumia jumbe mkeo, mkeo anakupa taarifa yule mtu bado ananisumbua.

Wewe mkeo mnakubaliana kufungua akaunti nyingine ya WhatsApp ambayo atapewa Jamaa kwa ajili ya mawasiliano yao, ndipo Jamaa anaanza kujieleza mengi na kufikia hatua ya kutuma picha zake za uchi nanii ikiwa imesimama.

Yeye akijua anachati na mke wako kumbe ni wewe! Nahitaji ushauri wenu tafadhali, ungekuwa wewe msomaji ungefanya nini? Utamlipia kisasi mkeo umdhalilishe kama alivyomdhalilisha ili watu waujue ukweli?
 
Hapa pagumu na panahitaji hekima na utulivu sana hasa ukizingatia kuwa ni mke maana ukikurupuka unaweza kufanya mambo ya kitoto sana ukaishia kujiharibia maisha hata wewe mwenyewe.

Kumbuka pia ukizimwaga hizo picha mtandaoni akikukomalia unaweza kufungwa (sheria ya makosa ya mtandao).
 
Tatizo ukizirusha tu mitandaoni, kesi unayo.

Ila fanya ivi.

Mwambie apige picha inayomuonyesha Sura yake akiwa uchi..yaan hiyo picha imuonyeshe sura mpaka mashine.

Baada ya hapo mwambie adownload Telegram kwakua Ina Usalama zaidi.

Nawee pia Download alafu Kwenye Telegram ,ingia Sehem ya privacy, set namba yako asiione mtu yoyote zaidi yako..

Kisha mchane laivu huko Telegram kua wewe ni mume wa Dada huyo.

Unajua Kila kitu Toka aanze kumsumbua mkeo.


Sasa kama asipotuma 1 M , unazituma hizo picha mitandaoni wote wazione.
 
Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa....
Hapa sina cha kukoment ngoja kwanza nimalize deni la ada ya watoto shule then ntarudi nifikirie cha kukushauri!
Ila pole sana mkuu(kama ni wewe lakini)
 
Hapa pagumu na panahitaji hekima na utulivu sana hasa ukizingatia kuwa ni mke maana ukikurupuka unaweza kufanya mambo ya kitoto sana ukaishia kujiharibia maisha hata wewe mwenyewe. Kumbuka ukizimwaga hizo picha mtandaoni akikukomalia unafungwa (sheria ya makosa ya mtandao).
Nahitaji hekima zako mkuu ndio maana nimekuja hapa.
 
Kwanini mpaka mmefikia uku unamuogopa huyo jamaa?

Mkeo alipokupa taarifa ya kuwa anasumbuliwa alitegemea wewe kama mwanaume utatafuta namna mkeo asisumbuliwe tena na huyo jamaa

Kwa mfano nilitegemea umwambie amblock Kila namba atayomtafuta amblock, hasimjibu mpaka achoke mwenyew

Mpaka anawatumia picha me naona mnamwendekeza

Kulipa kisasi kuvujisha picha zake sijui haikusaidii chochote, futa hizo picha, mblock, achana naeeee
 
Si mumblock na kumpotezea, kutongozwa mwanamke ni kitu cha kawaida sana mbona.

Usipoteze muda wako kwa mambo ya kijinga, nyie mna ndoa basi jiheshimuni mlinde ndoa yenu unless hamna shughuli nyingine za kufanya
 
Nitazi delete. Ukiona mkeo anagongwa eidha tatizo ni wewe, au tatizo ni mkeo. Third part hana tatizo.
Hivi kama unamtaka mke wa mtu na huyo mwanamke hataki halafu wewe unatumia nguvu kubwa kumshawishi akubali,hapo tatizo ni mwenye mke ,wewe mtongozaji au mwanamke?
 
Muingize site tafuta wahuni wamtatue marinda, mke ukishaoa ilo ni agano,

kubwa sio la kitoto, ila kama hujamuoa achana nae kwa sababu kama ni usumbufu kwake angemblock kabla ya kufikisha mashtaka kwako, angalia asijetumia hiyo chance kama scape goat ya kuchepuka na wengine afu awasevu jina la jamaa.

Hawatabiriki hawa kina Hawa busara ndo njia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom