Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,060
Wasalaam JF,

Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa.

Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi.

The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for purposes only.

Kusema uwongo kwa mwanamke ni ulinzi tosha kwake kutoharibu faida ya mahusiano, na wanaume wanapaswa kujua ya kwamba kilichomfanya mwanamke aje kwako au awe na wewe kama kimeisha au kimepungua au hakipati basi anatafuta anayeweza kumpa au hata ukiwa nae anatafuta ziada au aliekuzidi.

Unadhani kwanini kila wakati mwanamke akiachana na mtu lazima atoe sababu? Hio huo sio Sababu ya msingi, hoja ni kwamba toka mwanzo hawanaga commitment, hivyo basi hii ni hoja muhimu sana kwa sisi wanaume inafaa tusiumie wala kujipa stress tukiachwa, mwanamke ni kiumbe wa kusamehewa muda wote.

Leo nimewapa maarifa yatakayo kufanya usipate shida, usiumie na usiwaze, bali kumsamehe mwanamke akikukosea ndio nguzo ya furaha ya mwanaume awaye yeyote.

Kwa asili mwanamke hanaga himaya au territorial ownership.

Women are always in transition for multiple ownership with their purposes only.


Live happy enjoy women without stress.

Hello

Wadiz
 
Wafata huduma siku huhudumii ipasavyo anafata huduma kwingine, hakuna mwanamke wa kukustarehesha huku yeye hana anachopata wa hivyo hayupo
 
Back
Top Bottom