mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

    Aisee nyie walimwengu mna siri! Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua! Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia imenishangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi fupi ya mapenzi

    SIMULIZI FUPI, LOVE STORY Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa. Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka...
  4. JamiiForums Tanzania Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

    Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu. Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi. Wakuu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

    Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake. Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

    Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie. Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi...
  7. JamiiForums Tanzania Mvua za vuli zimeanza wadau wa mapenzi tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.

    Hello JF, Mvua ni chagizo la veto ya mapenzi, kila wito imo! Neema ya mvua za vuli imeanza maeneo baadhi ya Nchi ya mahaba, natoa Rai Kwa mabaharia wote tuendelee kuyaanda Maghetto yetu. Kwa maana imeandikwa waacheni watoto wazuri, warembo, pisi kali waje kwetu sisi mabaharia kwa maana...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kumsitiri mfalme, wenye nia njema na mapenzi ya kweli watamwambia kuwa "Mfalme uko uchi"

    Akatokea mtoto akawashangaa watu wanasema Mfalme amevaa nguo nzuri, wakati Mfalme yuko uchi wa mnyama. Badala ya kumshukuru mtoto kuwa kaacha unafiki na kusema ukweli wa kumsitiri mfalme, wanampiga mawe kuwa kamuaibisha Mfalme. Tatizo: TUMEZOEA KUMWONA RAIS KAMA MUNGU, AKITOKEA MTU AKASEMA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

    Taja Tabia za mwanaume au mwanamke ambazo zinaonesha kwamba penzi limekwisha au penzi limekufa iwe ndoa au uchumba‼️
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

    Hello guys, Hivi unajua kwamba mwanamke akiwa anakupenda ukimsifia wewe ni mzuri huwa anafurahi? Hata sauti yake huwa inabadilika. Ila kama hakupendi ukimsifia anaona kama unamkera, so mwaume mwenzangu chukua hii itakusaidia sana. Kama upo nae karibu angali facial expresssion, ila kama yuko...
  12. JamiiForums Tanzania Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously

    Wasalaam Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake. Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kupenda na kupendwa

    Habari zenu wadau, nimejikuta nipo kwenye wimbi la mawazo nashindwa hata kuchagua niingie upande upi kati ya kupenda na kupendwa. Kuna mabinti wawili wote wana umri kati ya miaka 24 -28, wote wanashepu matata, shida ni kwamba mmoja wao ananipenda sana yani karibu kila siku mara nyingi anapenda...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

    Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi . Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa gani ulikumbana nacho kwenye safari yako ya mapenzi

    nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu mzima mno maana si mama yangu wala baba yangu anamfikia sasa nikawa namuita babu, huyu babu niseme...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake. Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo) ii. Maonyo (warning) iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea...
  18. JamiiForums Tanzania Saikologia ya mapenzi na muziki

    Kulisema hili naanzia hapa kwa watu wangu wa nguvu wana MMU. Kusali au kuabudu lazima yatumike maneno. i. kusali kwa Kuongea. ii. Kuimba iii. Tafakuri (meditation) aka kimoyomoyo Roho zinatawaliwa na maneno, kuroga kwenye mapenzi lazima kunuwia maneno, kumuomba Mungu lazima kutumia maneno...
  19. JamiiForums Tanzania Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima atoke damu

    Tangu zamani nasikia stori za mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza (kutolewa bikra kama wanavyoita) lazima atoke damu. Japo kumekuwa na baadhi ya wanawake wanasema hawakuwahi kutokwa damu, hii imekaaje? Je, ni kweli mwanamke akitolewa bikra lazima atoke damu? Na kama ndiyo hao wanaodai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…