Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au...
Wakuu,
Yamenitokea
Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia
Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku
Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
Mahusiano mengine ni viburudisho....
Aahahahahaa hii mitandao inafanya watu wanakuwa wehu...😅😅😅😅
Nimeuzoea huu msemo kwenye madaladala konda akianza kudai nauli kunawanaosema mi staff silipi and the like....
Sasa huyu jamaa kaimbisha demu wa watu halafu anaulizwa utatoa shilingi ngapi baada...
Habari zenu wana nzengo
Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayefanya usaliti bila kuwa na sababu ya msingi. Mwanamke anapohusika...
Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu.
Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
Shuka nayo,
🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine.
1. The Will to Walk Away From Her
Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction.
The man who is willing to walk away at any...
Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya kweli inatokea hapo.
Kama una kazi nzuri ,pesa na na kila kitu ila kama huna mwenza maisha kwako...
Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani...
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura.
Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yake😂
Unakuta una experience ya haya mambo, 😂😂, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo.
"Ooh...
Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero .
Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine.
Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika.
Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi...
Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu mwema hata kama umeumizwa na mapenzi...
Usiwe mtu mbaya kisa umeumizwa...
Kuwa mtu mwema...
Kama vile tujuavyo ya kwamba hakuna maisha bila mahusiano ya mapenzi na Upendo ni Sheria ya asili ambayo ipo ndani ya Mwanadamu.
Kuna aina mbalimbali za uhusiano wa mapenzi, na kila mmoja hutegemea hisia, matarajio, na namna watu wanavyohusiana. Hapa ni baadhi ya aina kuu za uhusiano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.