mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliyojaa Maneno ya Watu: Nifanyeje?

    Hey there! I’m a 24-year-old woman, and I need some advice before I lose my mind or worse:D:D, my patience with people who think they know everything! So, picture this: I was living with my sister, but she basically kicked me out because I was dating a guy who had just ended things with his baby...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  3. JamiiForums Tanzania House girl wangu anataka tufanye mapenzi

    Wakuu nishaurini, Msichana wangu wa kaz housegirl anataka nisex nae anasema Ana nyege sana karibu mwaka mmoja Part 2 itafata hii itakua na muendelezo Part 3 Muendelezo Nimechukua ushauri wenu wengi mlitaka nipite nae, basi napenda kuwaambia leo hii nimepita nae kwakwel ni mtamu sana na amenipa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

    Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu.. Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama...
  5. JamiiForums Tanzania KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE NA KAMA N MAPENZI YAKO..BASI LITIMIE..MASHABIKI WA SIMBA NJOO MBELE....NABII SUGUYE

    BABA AMENIFURAHISHA SANA HAHAHAAAAA BAADA YA KUMALIXA MAOMBI AKASEMA JAMANI SI MNAJUA HATA YESU ALISEMA KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE KAMA N MAPENZI YAKO BASI YATIMIE HAHAHAAAA WALIOVAA JEZI ZA SIMBA NJOON MBELEEE HARAKA TUWAOMBEEEEEE WAKAENDA WAWILIIIIIIIIII HAHAAAHAHAHAAAA YAAAN...
  6. JamiiForums Tanzania Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

    Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu. Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006. Basi bwana, nilikua na huyo kijana...
  7. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni Utapeli wa Mapenzi au Ndio Upendo wenyewe ?

    Habari gani Wakuu Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna viuchokozi vinaongeza hamu, msisahau kuwachokoza wawape mavituz kwa raha na furaha

    Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi. Leo huyu baba watoto wangu kanikuta nimekaa kigodani naandaa chakula kafika akanisalimia huku...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kijana kumridhisha mwanamke bila kujali mwili na umri mkubwa alionao katika mapenzi

    Wakuu kwema? Wakuu hivi ni kitu gani kinafanya mwanamke mkubwa kwa umbo na umri kuridhishwa na moto mdogo ambaye kimwonekano huwezi kudhani kama anaweza kuwa na mwanamke wa aina hiyo?
  11. JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  12. JamiiForums Tanzania Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

    Nawaibia siri, siku nyingine muende kuwapa tendo huko makazini kwao wagugumie kama mabeberu kwenye viti vyao na kila wakiingia mzigoni wanakumbuka mbususu waliyosusiwa wanapata hamu ya kurudi nyumbani mapema kuila tena. Jana mtu mzima mwenzangu alikua katoka safarini, kaingia mjini asubuhi na...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar mbuzi wanaruhusiwa?? Ee Mungu tusaidie kikombe hiki kitupite kama n mapenzi yako

    Nimeona taarifa si njema kwa wanasimba wenzangu Kwa kweli mambo n magumu sana yaan kwa uwanja ule wa znz naona berkane akiondoka na kombe la shirikisho N mapenzi yangu kujua je na kule znz mbuzi wanaruhusiwa kuingia nao uwanjani Mwisho nisiseme mengi naomba niheshimu uamuzi wa caf kubadili...
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi pesa

    Nilimpenda kwa dhati. Sio kwa sababu ya uzuri wake tu, bali kwa namna alivyonifanya nihisi – kuwa mimi ni wa thamani, hata nilipokuwa sina kitu. Lakini mapenzi peke yake hayakulisha njaa, hayakulipa kodi, hayakunipa uwezo wa kumtoa hata mara moja. Siku alipoondoka, alisema kwa sauti ya upole...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  16. JamiiForums Tanzania Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume mmepitwa mapenzi na mahaba na Jogoo

    Najua haiwahusu ila nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji sasa basi nina majike wanne na jogoo moja, nimeshtushwa sana jinsi jogoo anavyowajali wake zake, Kwanza, jogoo hali mpaka majike wale, anawaitia chakula yeye anasimama pembeni, Pili, anawapeleka sehemu ya kutagia yaani anatengeneza sehemu...
  18. JamiiForums Tanzania Cheating (Kuchepuka) Inaua Zaidi ya Mapenzi — Je, Watu Wanaelewa Madhara Yake ya Kisaikolojia na Kijamii?"

    Kuchepuka imekuwa kama kitu cha kawaida katika mahusiano mengi siku hizi — wengine wanakiona kama ujanja, wengine kama sehemu ya maisha. Lakini watu wengi hawazungumzii madhara makubwa yanayotokana na kutokuwa waaminifu. Baadhi ya madhara ya kuchepuka ni: Kuvunjika kwa imani (trust) — jambo...
  19. JamiiForums Tanzania Naye kabadilika? Kajibebesha mimba baada ya kusikia nimempa mimba mwingine! Naambiwa mimi ndio nina shida

    Wasalaam, Yule mwanamke wa kiganda niliyevutiwa nae kwa jinsi alivyo na adabu,mpole,mcheshi na mchapakazi, Tena anayejua mahaba kuliko wanawake wote wa Tanzania..... Baada ya kusikia nimezalisha mwanamke mwingine mkoani huko amekuja juu na kujibebesha mimba yangu hatimaye na sasa Mimi ndo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Je, mapenzi ya kweli yapo au ni ndoto?

    JE, MAPENZI YA KWELI YAPO? AU NI NDOTO TU? 🌹 Mapenzi ni hisia tamu ambazo kila mtu anatamani, lakini je, mapenzi ya kweli yapo au ni hadithi tu? Wengine wanaamini kuwa mapenzi ni kujitoa bila masharti , wakati wengine wanasema kuwa mapenzi ya kweli yanazidi kuwa nadra katika dunia ya sasa. ✅...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…