mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Niseme sina bahati ama mambo hayajanyooka! Ninaemtaka simpati au labda tatizo nyota!

    GGADZZILA "kama hupati unachopenda penda unachopata" DIZASTA VINA "utairudia kawaida utagundua kuwa haukuwa malaika" WAZEE WANGU KIJIJINI "yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine mpunga" 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
  2. JamiiForums Tanzania Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

    NRNE - Hii ni nyuzi ya mapenzi kama hupendi hizi mada, achana nayo. Wanajukwaa niliwamiss, nimerudi na nikakutana na uzi wa mtu anauliza mbona mabinti wa siku hizi hawalii kwenye tendo? Nikamkumbuka kijana aliyeniliza kwa raha miaka kama 25 iliyopita, acha niwasimulie na wengine mjifunze...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 3 Unayofanya Bila Kujua! Yanayomfanya Demu Wako Aone Kama HUJALI Hisia Zake (Na Hivi Ndivyo Uta-Fix Hiyo Issue Kabla Haijaleta Balaa!)

    Washkaji zangu, hebu niwaambie kitu kinachoweza kuwachoma kidogo, lakini ni kwa nia njema kabisa, kama dada yenu ninavyowajali. Wakati mwingine, bila hata nyinyi wenyewe kujijua, mnaweza kuwa mnawavunja mioyo na kuwaumiza kihisia hao wanawake mnaowapenda. Tena sio kwa sababu nyinyi ni watu...
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya madhara ya kijana kuyajua mapenzi ukubwani ni Kuhonga na kumnyenyekea Mwanamke

    Nipo Salama! Salama! Sijui ninyi huko. Sio rahisi kijana ambaye ameanza mapenzi wakati wa balehe yake akikikua akaanza kuumizwa umizwa na mapenzi. Au ukamkuta anahonga au kupelekeshwa na wanawake. Asilimia tisini na tisa ya wanaume unaowaona wanahonga au kupelekeshwa na wanawake kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo kwenye ndoa upelekea kufa pamoja.

    Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa miaka 60 huko Tarrant County, Texas, walijenga urithi wa uaminifu wa dhati, wakilea vizazi vya...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa hivi sitalilia tena mapenzi na hii ndio sababu!

    Nimekaa nikatafakari nimegundua mapenzi ni utapeli tu!, Haiwezekani ati mtu kwa kukubusu tu useme hayo ndio mapenzi!, yani mtu anatumia kiungo chake cha kusagia chakula (mdomo) kukuonyesha mapenzi!, How come..? Ama mtu anakuonyesha mapenzi kwa kukupa kiungo chake cha uzazi yani uzazi ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Nina Umri wa Miaka 40, Nilianza Sex Nikiwa na Miaka 20, Sijawahi Toa Bikra ya Mwanamke Ila Nimekutana Nazo Mbili

    Sasa ndugu zanguni, mimi ni mtu mzima kabisa, nina miaka 40. Nilianza shughuli za watu wazima nikiwa na miaka 20, nikawa mfuatiliaji mzuri wa mambo ya "unyama wa mwituni", kwa lugha nyepesi—tulianza kupiga mpira miguuni bila viatu. 😂 Katika miaka hii 20 ya utafiti wa "mambo ya ndani", nimepita...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wakishapataga mtoto wa pili kiburi kinaanza

    Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo wanaodai kuwa uzazi huleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanamke – kimwili, kihisia, na kiakili...
  9. JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi na Pesa: Utata wa Uaminifu

    Audio: Chanzo:
  11. JamiiForums Tanzania Nahisi nimebambikiziwa mimba

    Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani. Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, ..... Baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Riwaya: mafuta ya masaji (Action na Mapenzi)

    𝐌𝐭𝐮𝐧𝐳𝐢: Saul David Bril 0756862047 __________________ Sehemu ya kwanza... UTANGULIZI Sikujua kama mwanzo wa mapenzi ni mwisho wa amani yangu. Kila kitu kilibadilika siku ambayo nilimwona kwa mara ya kwanza mwanamke fulani wa hadhi ya juu. Alikuwa akibadilisha mavazi ndani ya gari bila kujua...
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi shikamoo!.

    Samaleko... Ilibaki kidogo tu nidondoshe chozi lakini lilipotaka kudondoka nikakumbuka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso!" halafu kabla haujaisha huo wimbo vizuri nikakumbuka pia wimbo wa Diamond kizaizai!, Hichi sio kizaizai tasa bali ni kizaizai kilichozaa!. Japo nimeshakuwa sugu wa visa...
  14. JamiiForums Tanzania Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

    Yan haya maisha usijihaminishe lolote hasa Kwa kiumbe wa jinsia yakike uwe unahela utapigwa matukio, uwe katili utapigwa matukio, uwe sijui handsome boy utapigwa matukio, uwe na viuno kama fally ipupa utapigwa matukio, uwe unanukia kama majini utapigwa matukio. Kwa afya ya akili na mwili...
  15. JamiiForums Tanzania Mapenzi kamali. Leo nimepigwa tukio sijuhi nimueleweje

    Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli? Mwili wa Uzi: Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu waliotulia na waliowahi kupitia maisha haya. Niko kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye nimekuwa naye kwa muda sasa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania The Rise of Princesses: The Last Princess Of Peru

    SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
  17. JamiiForums Tanzania Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

    Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha. Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine. Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako. Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

    Baada ya zaidi ya miaka kama 14 nikitoa huduma inayohusiana sana na wanawake — kuwahudumia katika mazingira mbalimbali ya kijamii na kiafya — nimekuja kugundua jambo moja ambalo haliniingii vizuri akilini, lakini kila siku ushahidi wake unazidi kujionyesha: WANAWAKE WENGI HAWAPENDI MAHUSIANO...
  20. JamiiForums Tanzania Nyoka wako katika mapenzi

    Kuna dhana nyingi sana kwamba si rahisi kuwakuta paka wakiwa katika mapenzi. Ipo dhana kwamba ukikuta paka wanafanya mapenzi eti hiyo ni nuksi. Kuna kipindi nilikutana na kisa ambacho sijawahi kumsikia mtu akikizungumzia. Kuna siku nilienda shambani sasa katika kichaka nikaona nyoka wawili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…