Billboard ya umpendaye! Je ni mapenzi ya dhati? (critical thinking)

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,939
2,250
Happy Valentine nyote!

Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana

Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango kubwa lenye picha ya ampendaye na kuliweka barabarani. Naona kila Mtu amefurahia hii na kwa mtazamo wengi wamepongeza na kusema haya ni mapenzi ya kweli. Wengine wameenda mbali sana na kusema wao pia wanatamani wangefanyiwa hivyo.

Binafsi somehow niko negativity on it. Nilitamani pia nipate maoni ya wengi au view za great thinkers hapa.
 
Wale wanawake wanaotuita wanaume wote ni mbwa. Haya mwenzenu mmoja kaonesha mapenzi ya dhati kwa jibwa lake.

Nachotaka kusema wanawake pamoja na mambo mengi yanayoendelea kwenye mahusiano hebu ifike muda muappriciate hata kidogo tunachofanya. Mara mbwa hivi mara mbwa vile aah sio poa
 
Happy Valentine nyote!

Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana

Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango kubwa lenye picha ya ampendaye na kuliweka barabarani. Naona kila Mtu amefurahia hii na kwa mtazamo wengi wamepongeza na kusema haya ni mapenzi ya kweli. Wengine wameenda mbali sana na kusema wao pia wanatamani wangefanyiwa hivyo.

Binafsi somehow niko negativity on it. Nilitamani pia nipate maoni ya wengi au view za great thinkers hapa.
Why and how negative? Fafanua in fact hujachangia
 
Kama huyo mume anapesa basi mke anataraji surprise hio ni kama triger or stimulator something is loading for her, alternatively she has had it just to kill off her bitter friends wale wa kimajungu wenye wivu na wako single so hii surprise inawahusu akina faiza na wengine wote they might have something but they don't have husbands like her, here is an edge for her. Just my stupid thoughts anyway.
 
Happy Valentine nyote!

Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana

Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango kubwa lenye picha ya ampendaye na kuliweka barabarani. Naona kila Mtu amefurahia hii na kwa mtazamo wengi wamepongeza na kusema haya ni mapenzi ya kweli. Wengine wameenda mbali sana na kusema wao pia wanatamani wangefanyiwa hivyo.

Binafsi somehow niko negativity on it. Nilitamani pia nipate maoni ya wengi au view za great thinkers hapa.
Ni aina ya tatizo la kisaikolojia na kutojiamini huku ukidhani unajiamini.. Ni ulimbukeni na kukosa tafakuri ya kesho..kumbuka moyo wa mtu ni kiza kinene sana
Thamani ya mapenzi ya kweli iko moyoni na sio kwenye mabango... Huo ni upotevu wa pesa na kuonesha ukwasi ambao kuna wanaotafuta theluthi yake ili waweze kupata mahitaji ya msingi kama matibabu, lishe malazi nknk

Kumbuka haya mambo huambatana na laana. Usije kushangaa mwakani ukaona bango tofauti na hili...
Mahusiano ni jambo binafsi sana halihitaji matangazo kuthibitidha upendo
 
Nmekuelewa mkuu..
 
Kuna mtu alinionyesha hii kitu nikamjibu nikitoa mawazo yangu ntaambiwa sina hela au tafuta hela period
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom