mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Caf Confederation cup ni michuano ya wachovu: Ushahidi ni timu iliyotolewa mapema champions league huko inafika fainali!

    Caf confederation cup ni michuano ya wachovu!! Hata timu iliyotolewa mapema tu uko caf champions league, lakini akirudi kwa wachovu anafika fainali!!
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania USM Alger 2-1 YANGA; Morrison alitakiwa aingie mapema baada ya Aziz Ki kushindwa mchezo

    MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO. Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023 Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka hadi aone mpira upo kambani,katoa pasi nzuri iliyomkuta Mudathir aliyemtengea Mayele aliyeweka...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  5. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio maendeleo acheni kulazimisha watoto kuoa mapema

    Imekua ni kawaida kwa Vijana wengi kuoa mapema kuanzia miaka 20-25 tatizo wengi wanaolea nyumbani kwa wazazi unakuta nyumba vyumba vitatu Babu, Bibi, Baba, Mama na Wajukuu wengi mithili ya vifaranga wa Tai. Wote wanaishi hapo nyumbani. Muda ambao kijana alitakiwa kutafuta maisha ndio...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Idara ya usalama Mkoa wa Dar es Salaam ibadilishwe kwa kushindwa kuiona move ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na kutoa taarifa mapema

    Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  8. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Kocha Nabi kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia kama tukifungwa au kutoka Sare na Marumo Gallants FC leo kwa Mkapa

    "Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi. Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai anza kufungasha mizigo yako mapema

    Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai. Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

    Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar. Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

    Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni. Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  15. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Watu wameanza kuhama nchi mapema kabisa

  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

    KUZAA MAPEMA SIO KUPATA MSAADA/SULUHU ZA UZEENI Anaandika Robert Heriel, Kionambali. "Nazaa mapema ili nipate wakunisaidia uzeeni" Hapo ataanza kupiga hesabu, "nikifikisha miaka 35 mtoto atakuwa na miaka 10, nikifikisha 45, mtoto wangu atakuwa na 20, hapo nguvu zitakuwa zinaanza kuyoyoma...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  19. demigod

    JamiiForums Tanzania Feisala Salum Shtuka Mapema Mdogo wangu!

    Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako? Ulianza na wale wa Bernard Morrison. Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa. Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva. Shtuka mdogo wangu, hao wote wanatambua kuwa hutoboi dhidi ya Yanga SC na ndio maana mwanasheria...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maisha matamu chukua chako mapema nimemfaulisha Mwanamke

    Amani iwe nanyi nyote wana JF, Ama kweli katika maisha ni kufa kufaana, nikiwa nimetulia sehemu mitaa ya Dodoma Jiji, nakula kuku na kutuliza Koo kwa flying fish za moto, nikiwa na mtoto wa kisandawe pembeni, akaja mdau mmoja katupia suti kali sana na glass nyeusi. Akanistua na kuniomba...
Back
Top Bottom