mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Jenerali Ulimwengu umetimia mapema mno

    Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya: "Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Wale waliosema Bandari imeuzwa tubuni mapema dhambi zenu Mkataba wenu feki unawaumbia Mchana kweupe Samia hadi 2030

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia...
  4. JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

    SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza. "Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri "Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
  5. JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka! Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa. Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

    1. Wana Uyanga mwingi 2. Wana Unafiki 3. Wana Dharau 4. Tajiri yao hashauriki 5. Laana ya Usaliti inawagharimu 6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga 7. Wana Ushamba unaowaponza Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali...
  7. JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  8. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumjengea mtoto tabia ya kujitegemea mapema

    Na C-Sema Wakati mwingine, wazazi na walezi tunapata wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu. Tunajiuliza: Watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani? Hivi watafanikiwa kielimu? Biashara? Lakini kimsingi, sisi wazazi na walezi ndiyo watu pekee wenye jukumu la...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA mfukuzeni Lissu mapema au mdhibitini la sivyo yaliyowakuta CUF yatawakumba na ninyi

    Tundu A. Lissu, homeboy ni mwanasheria mzuri na mwanasiasa machachari sana, hapa ninakiri kumkubali. Kiongozi huyu anaewapeleka chadema kwa kasi ya 4g pasina kueleweka anako wapeleka. Kimsingi hatabiriki kesho atakuja na stori gani na dhihaka gani kwa viongozi walio hai na wasio hai japo yeye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imeanza kujihami mapema kuhusu vifaru vyake vya ABRAHAMS inavyopeleka Ukraine!! Inahofu vitaunguzwa na kutekwa na URUSI!

    Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani inasema kuwa itavyofoa sehemu muhimu kwenye vifaru hivyo ikiogopa teknologia yake kuangukia mikononi...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Mnaifahamu postportum depression?

    Wahenga wanasema utamu wa ngoma uingie ucheze, ukweli wa jambo kama halijakukuta wewe wakati mwingine ni ngumu kumuelewa Yule anaelipitia, katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku uzazi utanifanya nijione mwendawazimu, hasa vile vipindi nikilia kama mtoto mdogo asiyejua mama yake yuko...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

    Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Machaguo ya Wanafunzi wanaojiunga Form 5 yapangwe mapema, mamlaka zinawaumiza Wazazi na walezi

    Naomba mamlaka zinazohusika kuchagua Wanafunzi kwenda kidato cha tano zote zitoe nafasi ya waliochaguliwa mapema ili kuwawezesha wazazi na walezi kufanya maandalizi ya kuwapelekea Watoto shule kwa utaratibu. Machaguo yanapotoka mapema inampa fursa hata mzazi au mtoto kujipanga mapema kwa kujua...
  15. JamiiForums Tanzania Tahadhari za kuzingatia kwa watu wanaokwenda kwenye mkesha wa chako ni chako Kawe

    Ni tahadhari tu, kutokana na wingi wa watu leo lazima kenge wamo ingawa ni vigumu kuwajua. Kwa wale mnaoenda mkesha wa chako ni chako kawe leo: 1. Usalama wako uanzie kwako mwenyewe. 2. Ukiwa na begi lolote usiamini mtu wa pembeni yako. 3. Unapoenda haja hakikisha uko na begi zako. 4...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Vijana wengi Tunakufa mapema, hauwezi kutoboa kwa mtindo huu wa maisha

    Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako . RAFIKI YAKO: Kaka...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane mapema, kabla jua halijazama

    Bro, Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera. Tuwashutue au tuwaache? Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

    Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi. Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume. Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Mkataba wa Bandari ni madudu, Chukua Chako Mapema?

  20. JamiiForums Tanzania Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

    Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika. Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…