Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine.
Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...