mapambano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  2. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania CCMJless: Mapambano ya Jobless, Mapinduzi kwa Njia ya Siasa

    “Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.” Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende PhD au niendelee na mapambano

    Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mama anapodhamiria kuyang'ang'ania madaraka japo hadi 2030, CHADEMA ijizatiti kwa mapambano ya muda mrefu!

    Kwamba hata iweje! Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote. "Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote." Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Kila mwenye sifa ana haki kugombea nafasi yoyote, demokrasia ni mapambano, wagombea nane wa ubunge wamechukua fomu Mkoani Songwe

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama. Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  8. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Uimara wa mwanaume na kuikabili mitihani na mapambano

    Hello jamiiforum, Leo ni siku nzuri ya jumatatu ikiwa ni siku ya mwisho wa mwezi wa tatu , ama kweli sikukuu imekuja vizuri sidhani kama watu wamekopa kivile ili kufanikisha sikukuu hii muhimu Kwa wenzetu waislamu. Kwenye Mada,sikuzote nasemezana na kuwaongelea wanaume,nyuzi zangu zinahusu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote. Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

    CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara. Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
  12. lord commander

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya M23 yanakwendaje?

    Muda mrefu sijasikia kuhusu mapigano yanayowahusu M23. Je, majeshi ya SADC yametuliza mambo?
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya ukatili na udhalilishaji yanahitaji nguvu za ziada kulekea 2030

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo. Akifungua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili katika ukumbi wa bima Mpirani wilaya ya mjini, Mjumbe wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  16. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  17. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  18. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

    Wakuu habari za siku nyingi, Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania. Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda muafaka wa kufanya analysis kama yaliyomo yamo au hayamo. Sijigambi kwa lolote or Chochote. Dunia ni...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Hujafa Hujaumbika-Biashara ni Mapambano

    Habari za wakati huu; Ni muda mrefu sana sijaweka andiko katika Jukwaa letu hili pendwa ambalo lina wachangiaji wachache.Nikiri tu kwamba ni kwa sababu mbalimbali sijaweza kuweka andiko hapa haswa kutokana na changamoto mbalimbali za kibiashara na kimaisha.Kama ilivy kawaida yangu huwa napenda...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano

    Wanaukumbi 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA. Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF. "Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha...
Back
Top Bottom