maovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Huyu bwana alisema yeye mcha mungu, hawezi kuwa sehemu ya maovu yanayofanywa kwa kisingizio cha amani na usalama na kuamua kujiuzulu nafasi yake

    Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
  2. R

    Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  3. Carlos The Jackal

    Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
  4. H

    Kwa maovu waliyotendewa WAAFRIKA kutoka kwa warabu na wazungu kupitia Yesu na Muhamad naweza sema hawa ndiyo SHETANI WENYEWE

    Habarini za usiku, Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe? Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
  5. Fbn

    Mapatano ya kukaa mezani kila ukiharibu na kufanya maovu ni kama kuwachukulia wajinga

    Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga. Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu Seif Sharif aliposhinda ilawale ccm wakataaa kukubari wazi mpaka walipo kuja kubembeleza mzee...
  6. Allen Kilewella

    Kwanini maovu watende CCM, lakini walaumiwe CHADEMA?

    Kila wakati huwa sielewi akili za watu wanaowalaumu CHADEMA kwa matendo maovu yanayotendwa na CCM. Serikali kwa sasa inaongozwa na CCM (hakuna Serikali ya CCM) kwa ivo kila baya linatendwa dhidi ya CHADEMA na Serikali, ni lazima liwe linatokana na maagizo ya CCM. Kwa mfano John Magufuli akiwa...
  7. Just Pray

    Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu. Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
  8. Just Pray

    Padri Kitima: Viongozi wa dini mkiendelea kukaa kimya juu ya matukio ya watu kuuawa maovu haya yataendelea nchi hii

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua...
  9. realMamy

    Ukosefu wa Ajira chanzo cha Maovu

    ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji. Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa tu walikosa ajira wakaamua kushawishika kufanya vitu visivyofaa. Serikali iendelee kuzalisha ajira...
  10. GoldDhahabu

    Senior Dave wa Kenya ni mfichua maovu au muigizaji?

    Kama ni uigizaji, atakuwa amevuka mipaka. Ni kuichafua nchi yake na raia wa Kenya kwa ujumla. Lakini kama ni matukio ya kweli, anastahili pongezi. Ni ushushu wa hali ya juu. Katika clips zake za matukio mawili niliyoyaangalia leo, nimeshindwa kuelewa kama ni matukio halisi au ni ya kutungwa...
  11. Mystery

    Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  12. J

    PreGE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

    Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!! Maisha...
  13. Kipenzi Changu

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu. Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia...
  14. Desierto

    Kati ya tulipotoka na tunapoelekea ni kizazi kipi kimetenda au kitatenda maovu zaidi?

    Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui Mungu? Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi. Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kanisa la Wasabato Mnapaswa Mkosoe maovu ya serikali zaidi kuliko kukosoa wenzenu wa Roman Catholic

    KANISA LA WASABATO MNAPASWA MKOSOE MAOVU YA SERIKALI ZAIDI KULIKO KUKOSOA WENZENU WA ROMAN CATHOLIC. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi nimezaliwa kwenye Usabato, nimekua na kulelewa kwenye Usabato. Kimsingi Mimi ni Msabato ingawaje ni Mtibeli kiasili. Yaani tuseme ni Mtibeli aliyezaliwa...
  16. FaizaFoxy

    Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

    Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo> Tafsiri kwa msaada wa google. Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti...
  17. Erythrocyte

    Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

    Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu . ====== Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu" Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote...
  18. A

    DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu. Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
  19. M

    Hivi huu utititili wa makanisa una faida Gani wakati maovu ndo yanazidi kuwa mengi?

    Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha...
Back
Top Bottom