maovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Mbeya: Wasanii watoa wimbo wa Kukemea matendo Maovu ya Polisi. Wamvaa RCO Andrew Kantimbo

    Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu. Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu. Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
  2. Kiplayer

    Maovu ndio mema na mema ndio maovu

    Vipi unafika kwa Sir God anakuambia Yale uliyofundishwa kuwa ni maovu duniani kumbe ndio mema, Yale uliyofundishwa ni mema ndio maovu!
  3. Victor Mlaki

    Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

    Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba? Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo...
  4. Miss Zomboko

    Mtu yeyote kwa manufaa ya umma anaweza kufichua maovu yaliyotendeka kwa Mamlaka

    Mwaka 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kuwalinda watoa taarifa (whistleblowers) na mashahidi (witnesses) Watoa taarifa (Whistleblower) wanabeba jukumu muhimu katika kutengeneza Dunia yenye usawa. Utoaji wa taarifa husaidia kulinda Fedha za Umma, kuchochea...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Ni jukumu la mitume, manabii, wachungaji na maaskofu kukemea Maovu hasa ya watawala

    Kwema Wakuu! Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu. Hakuna haja ya uwepo wa dini ikiwa manabii, mitume, maaskofu, wachungaji na wote wanaohudumu kwenye...
  6. R-K-O

    Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

    Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza...
  7. R

    Kwa mwendo huu serikali kutowachukulia hatua za kisheria "wezi" waliotajwa na CAG, ripoti za CAG zitakuwa SIRI

    Kitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption. Hata Bunge halitakuwa na mamlaka ya kuzijadili
  8. Guru Guja

    Tufichue maovu, uvunjifu wa sheria na kukosa ustaarabu katika huu uzi

    JF Where we Dare to Speak. Ahadi ya mwana Tanu inasema nitasema ukweli daima Fitna kwangu Mwiko. Admins. Kwenye huu uzi tutaweka watu au vitendo vya kuvunja sheria, utovu wa nidhamu, kukosa ustaarabu, kuvunja amani na kuleta hali ya sintofahamu. So kila kitu kitakuwa kwa uwazi bila kusingizia...
  9. A

    DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

    YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!! NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!! Somo tajwa hapo juu lahusika. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote waliolisimamia suala letu walimu!Nianze na ofisi ya Rais, Wizara ya Elimu Tamisemi, Ofisi ya Takukuru...
  10. Mr Why

    Si jambo rahisi kuzuia maovu

    Turejelee harakati za mitume wetu Yesu Kristo na Muhammad, mitume hawa walikuwa wakihangaika usiku na mchana kuondoa maovu ikiwemo wizi, ukahaba, ushoga na mengineyo. Leo hii tunashuhudia dunia ikitumbukia kwenye ushoga na usagaji na maovu mengine mengi, Je, unadhani mfupa uliomshinda fisi...
  11. Hemedy Jr Junior

    Dini/dhehebu isiwe mwamvuli wa kuficha maovu au kusema tunadharirisha dini

    📌Habari wana Jukwaa.... Watu wengi wamekuwa na uelewa mdogo sana na kuanza kutambiana kuhusu dini na mambo ya kiovu yanayoendelea. ▪︎ Iko hivi kwenye uisalamu kuna waisalamu ni washenzi na mafilauni ila kwakuwa uisalam na muislamu ni vitu viwili tofauti. Kwanini na sema ni tofauti ukiwa...
  12. J

    Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Nimeona heading Kwenye gazeti la Nipashe kwamba kuna kifo cha kutatanisha cha Mfugaji aliyefia Mahabusu Polisi wamedai amejinyonga kwa kutumia Chupi yake Ngoja nilisake gazeti nilete habari yote! --- MFUGAJI aliyetambulika kwa jina la Samweli Bulunde, anadaiwa kufariki dunia baada ya...
  13. M

    Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
  14. Robert S Gulenga

    Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo

    Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua. Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo? Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka...
  15. Mystery

    Licha ya maovu ya dhahiri yanayofanywa na watendaji Serikalini, je ni kwanini hatua za kuwawajibisha hazichukuliwi?

    Tunaona kwenye ripoti mbalimbali za fedha za Kila mwaka za CAG, zikiibua ufisadi mkubwa wa mabilioni, unaofanywa na watendaji Serikalini, lakini tunaona ni "business as usual" inayoendelea na hakuna hatua zozote za kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya Sheria zinazochukuliwa! Tunashuhudia...
  16. B

    Sala humtoa mtu kwenye maovu na kumuweka katika mema. Kama unasali na bado unafanya maovu sala yako ni sifuri

    Huwezi kuwa unasali halafu unaendelea kufanya uovu. Ni heri upumzike maana Sala yako haina faida. Nawasilisha.
  17. MK254

    Wapelelezi wa UN wabaini maovu yaliyotendwa na Warusi kwenye miji ambayo imekombolewa

    Watoto walibakwa, kuteswa na kuuawa pamoja na maovu mengine mengi.... Ripoti kama hii ni muhimu maana itachangia kwenye kuikandamiza Urusi, nashukuru maana hata China niliona juzi wameanza kuchomoa... =================== Children were raped and confined in Ukraine, report says Investigators...
  18. T

    SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  19. S

    Kwa jicho la tatu Kuzimu iko/ndiyo Tanzania. Maana maovu yanapendwa kuliko mema

    Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii. 1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania kimyaaa!!! Sri Lanka na Sudan wameweza 2. Mwgulu amewahi kutoa kejeli kwa watanzania kuwa asiyetaka...
  20. Suley2019

    Teknolojia imekua, Taasisi za Serikali undeni mifumo rafiki itayolinda faragha za wafichua maovu

    Salaam Wakuu, Kwanza, nawapongeza TAKUKURU na taasisi nyingine za kiserikali kwa jitihada zao na kazi nzuri wanazozifanya katika kupambana na rushwa na maovu nchini. Tumeshuhudia watu kadhaa wakiwekwa hatiani na wengine wakipoteza nafasi zao kwa tuhuma za rushwa. Pamoja na jitihada hizo ukweli...
Back
Top Bottom