maovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Teknolojia imekua, Taasisi za Serikali undeni mifumo rafiki itayolinda faragha za wafichua maovu

    Salaam Wakuu, Kwanza, nawapongeza TAKUKURU na taasisi nyingine za kiserikali kwa jitihada zao na kazi nzuri wanazozifanya katika kupambana na rushwa na maovu nchini. Tumeshuhudia watu kadhaa wakiwekwa hatiani na wengine wakipoteza nafasi zao kwa tuhuma za rushwa. Pamoja na jitihada hizo ukweli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  3. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
  4. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

    Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine: Maaskofu wataka haki kwa kila mtu Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola: Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao: Vita hivi...
  8. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo huko CCM watakavyojutia matendo yao waliyowatendea wapinzani..!

    Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba: Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu Dr. Martin Luther King Jr. Sasa moja ya hofu kuu kwenye hili ni kwamba: Wazungu na hasa watoto wa...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Simbachawene kemea maovu na uvunjifu wa haki za binadamu unaofanywa na polisi

    Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea. Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
  10. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Malengo maovu ya wakubwa wa dunia

    Dunia hii ina watu wanaoongoza mambo yote makubwa, kama vile uchumi, elimu, majeshi, sayansi, nk. Kwa bahati mbaya sana, watu hawa wana malengo maovu mno, licha ya kuwa wao ni kikundi kidogo sana. Lakini baya zaidi asilimia zaidi ya 90 ya wanadamu hawana habari na kile kinachoendelea. Wakubwa...
  11. Jadda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri nchini Bw Absolom Kibanda ametoa matamshi makali dhidi ya Samwel Sitta kwa kumwambia kuwa yeye (Sitta) si mpambanaji kama anavyojifanya lakini kali ya yote amemwambia kwasasa hana muda wa kupoteza...
Back
Top Bottom