maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  2. JamiiForums Tanzania Una maoni gani kuhusu wanawake wa aina hii?

    Habari za jumapili. Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu. "kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

    Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

    Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?? UPDATES: Kupitia comments zenu nimegundua kuwa watu wanachanganya vituko vya mvuta bangi na uchekeshaji.
  5. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

    Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
  7. JamiiForums Tanzania Ubunifu Tizama Weka Maoni Yako

    Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
  8. JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
  9. JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Mama Samia kwa kusikiliza maoni yetu

    Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni. Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni. Mama umenikosha sana.
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  13. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tutumie Mitandao vizuri, Rais anasoma maoni yetu

    David Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao. Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii. Amesisitiza umuhimu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Watetezi wa 'Legacy' ni kipi katika haya mabadiliko msichokipenda?

    Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena? Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
  15. JamiiForums Tanzania Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  16. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni na maswali yangu kwa TCRA

    Poleni na majukumu ndugu zangu wana jamvi. (a)Kwanini kusiwe na namba ya huduma ya TCRA? [emoji117] Yaani mteja wa mtandao husika anaponunua kifurushi kikaisha kabla ya muda wake apige simu TCRA ili wahoji au kuchunguza uhalali wa matumizi. Hapa ikibainika mtandao umefanya wizi umrudishie mteja...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

    Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema. Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…