maonesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Huduma za TGC kivutio maonesho ya madini na uwekezaji mkoani Lindi

    Ruangwa - Lindi Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda la Wizara ya Madini. Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na TGC kutokana na madini mbalimbali zilizopo katika...
  2. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  3. J

    Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  4. Pfizer

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  5. BARD AI

    Kampuni 266 za Nje ya Nchi zinashiriki maonesho Sabasaba 2023

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
  6. Pfizer

    Nyumba ya Wazanaki yanogesha maonesho ya 77 ya mwaka 2023

    Na. Sixmund J. Begashe Nyumba ya asili ya kabila la Wazanaki iliyojengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi yake ya Makumbusho ya Taifa, imekuwa kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam Maarufu kama Saba Saba. Makundi Makubwa ya wanaofika katika...
  7. D

    Kwanini Wanafunzi wakipanda Bus binafsi kwenda shule wanalipa 200; lakini kwenye maonesho ya serikali sabasaba wanalipishwa 1500

    Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda! Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?! Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru...
  8. J

    TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (Sabasaba)

    TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (sabasaba) Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini wa viti, meza na vizimba 170 vya...
  9. J

    Wadau wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonesho ya mwaka 2023 ni ya kipekee

    WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
  10. J

    Maonesho ya Sabasaba kuja na ‘Expo Village’

    Maonesho ya Sabasaba kuja na ‘Expo Village’ Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), yatangaza uwepo wa jukwaa maalum (Expo village), litakalowawezesha wafanyabiashara kushiriki na kuonyesha bidhaa zao, katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka...
  11. Stephano Mgendanyi

    Stephen Byabato awahamasisha wadau wa nishati kushiriki mkutano na maonesho ya petroli ya Afrika Mashariki

    MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Mei mwaka...
  12. JanguKamaJangu

    Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  13. L

    Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  14. L

    Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
  15. Boss la DP World

    Vikosi vyetu vya Zimamoto na Uokoaji ni kwaajili ya Maonesho tu pale Uwanja wa Taifa?

    Hawa watu wanakuwaga na sifa sana kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru, huwa wanatuonesha umahiri na ukakamavu wao, cha ajabu yanapo tokea majanga huwa hawaishiwi visingizio. Halafu kuna kipindi huwa wanateketeza mali za Umma kuandaa mazoezi ya utayari, yaani wanaandaa ajali feki ya ndege au...
  16. BARD AI

    Floyd Mayweather ashinda pambano la dakika 9 na kuondoka na Tsh. Bilioni 46.9

    Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan. Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda kwa KO round ya 2 na kufanya pambo hilo limalizike, Mayweather kabla ya pambano hilo alikuwa...
  17. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China yahimiza maendeleo ya uchumi wa dunia

    Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
  18. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
  19. L

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  20. L

    Michezo ya Watu wa Makabila Madogo yafanyika wilayani Rongjiang mkoani Guizhou China

    Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
Back
Top Bottom