NA PILI MWINYI
Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE, yanayofanyika mjini Shanghai yamepata mafanikio makubwa na kutoa jukwaa muhimu sio tu kwa China kuendelea kufungua milango yake na kukuza ushirikiano wake wa kimataifa na biashara huria, bali pia kwa wafanyabiashara...
Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Sekta ya utalii inachangia kiasi kikubwa katika maendeleo ya...
BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA
Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
Wakuu habari za muda huu,
Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”.
Kiukweli TanTrade mmetuangusha sana maonesho ya sabasaba hayabadiliki kabisa kilichofanyika miaka kumi...
Habari wakuu,
Maonesho ya Saba saba tuyafanyie humu jukwaani, weka bidhaa yako pamoja na bei watu tuione. Kwa kufanya hivyo utajiongezea wigo wa biashara kwa kupata wateja wengi zaidi.
Weka bidhaa pamoja na bei wateja wanunue.
Karibuni wakuu.
Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze. Maonesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za maonyesho watu wakitoka na familia zao kubadilisha mazingira.
Ninatamani sana yangerudishwa.
DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho.
Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.