maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CHADEMA. Kesi yapigwa tena Kalenda hadi Agosti 28

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
  3. H

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Serikali Kuweka Mikakati Madhubuti dhidi ya Unyanyasaji wa Wafanyakazi – Sektar Binafsi*

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini. Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  5. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

    Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe, Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho haipo mbali watakulilia hata ukiwa kaburini.😭😭😭
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya yule aliofanya maombi na mtungi wa gesi ukajaa na hao wanaishi wa chamwino walio changia 250k ya kuchukua form ya uraisi nani msani zaidi?

    Tanzania ni nchi ambao imejaa comedy ukiwa serious sana na mambo Tanzania na hujui kucheza kiunafiki utaugua kwa stress na kufa mapema. Mtu anaendesha gari la 600m na anasindikizwa na escote ya magri zaid ya 9 Kila v8 ni 200m unamchangia 250k achukue form ya Uraisi loh............
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je dirisha la pili la maombi ya vyuo kwa diploma limefunguliwa kwa wanaoomba kozi za afya tu?

    Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye mfumo kipengele cha kuchagua kozi kinaniletea kozi za afya tu kama hivi.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

    Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe. Book 2, Number 0704: Narrated Abdullah ibn Abbas: Ikrimah...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NACTVET: Baraza limeongeza kasi ya kushughulikia maombi yote ya AVN Number kwa dharura

    Mara baada ya Mwananchi kuwasilisha malalamiko kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu changamoto ya kukosekana kwa Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) kwa Watu waliohitimu ngazi ya Diploma na hivyo kukwama kufanya maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali...
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tupo Kanisani usiku wa maombi, mhudumu wa guest ameomba atoe ushuhuda wazee wa Kanisa wamekataa

    Imenishangaza mno! Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  12. kiibinda

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  15. princeNathan

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Intern au volunteer

    Rejea kichwa cha hapo juu mimi ni kijana umri miaka 28 nina masters degree in computer science vijana wezangu,kaka zangu , baba zangu, mama zangu na wazee wangu naomba mnisaidie niweze kutengeneza ujuzi wangu kwa kupata experience ya taaluma yangu kwa volunteer au internship. Mimi nina ujuzi...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maombi yenu jaman watu wanajinyonga kupitiliza.wanauwana kama hawana hofu ya Mungu tusaidie

    Yaaan mwezi huu tu NIMEONA watu zaidi ya kumi wamejinyonga Hivi majuzi dk swai nae kajinyonga pale Moshi Nduguyetu Ronaldo mfanyabiashara WA Moshi msaranga nae KAJIUA Leo nimeangalia taarifa ya habari watu wawili TOFAUTI Wamejiua Nawazaa waliojinyonga nkakutana na mtoto kamuua babayake...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  18. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Avn number solution,kufanya maombi ya leseni na transcript

    Huduma tunaziotoa ni zifuatazo 1)Kutengenezea mtu AVN NUMBER kama amesahau password 2)Kufanya application ya leseni kwa wale clinical officers 3)Kufanya application za transcript kwa wale clinical officers 4)Kusolve tatizo la no username na password known nacte Usisite kupiga 0759-124378
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania KERO Maliasili mfumo wa maombi ya Vyuo una shida gani?

    Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo. Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu kwamba nifanye malipo! Nikilog in mfumo hauendelei mbele wala haufunguki niweze kuingia kwenye akaunti...
  20. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
Back
Top Bottom