Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba.
Day 05
Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA
NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU
AMEN
KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO
AMEN
Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi..
Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu.
Lakini Unateka...
Habari wana jamii 🙏.
Natafuta kazi ya Dental Therapist. Nimemaliza masomo yangu Agosti 2025 na kwa sasa nipo Iringa, lakini niko tayari kufanya kazi popote.
📞0653711756
Mfalme Daudi licha ya kuwa ni mteule wa Mungu hakukaa tu na kutegemea maombi kuwakomboa waisrael kutoka kwenye ukatiri wa wafilisti. Daudi alimuua Goliathi kwa mapambano ili kuwaokoa waisrael na ukatiri wa Goliathi.
Kwa hiyo watanganyika cha kufanya mnakijua. Nchi haikombolewi kwa maombi.
Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji.
Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
Anonymous
Thread
kutangaza
maombi
nacte
tanzania
tcu
uhamiaji
wahitimu
Isa 59:2
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Mit 28:9 SUV
Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo
TUNAONA DHAMBI inakutenga na Mungu kutokumtii Mungu sheria za Mungu kunamfanya...
TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
Mtaomba mpaka kesho lakini Amani inaletwa na vitendo vya haki vya kila siku sio sala wakati vitendo ni vibaya. Bila vitendo vya haki mtakuwa mnapoteza muda
Bwana asifiwe!
Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
KWA NINI MAOMBI YAKO HAYAJIBIWI??
1.DHAMBI
1 Pet 5:8
Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.
Usichokijua ADUI shetani na maajenti wake kama wachawi mapepo wapo kazini masaa 24 wanafanya mashambulizi dhidi yako...
Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29.
Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29?
Mao
Najua kwa asilimia kubwa viongozi wa asili na mila wa sasa ni wanafiki na waongo na ndiyo maana ni "double agents" wa serikali kwa maana kwamba anaendesha shughuli za asili na mila na wakati huohuo ni muumini wa ukristo na uislam,huu ni ukichaa!!
Niwaombe kama kweli mnauwezo na kuamini ktk...
Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto.
Je alikuwa bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.