manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuuza ovyo Tanzanite kunashusha thamani yake

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na kuongeza, "Endapo yatauzwa kwa mpangilio na kuachiwa kidogo kidogo duniani thamani yake itapanda"...
  2. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Serikali yamfutia Mashtaka ya Uhujumu uchumi Mhadhiri wa Chuo Kikuu

    Mkurugenzi wa Mashitaka ya jinai nchini l (DPP)amemfutia Mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili Mahakamani mhadhiri wa Chuo kikuu cha SAUT tawi la Arusha, Subilaga Masebo na wenzake wanne. Akiwasilisha maombi ya kuondoa shtaka hilo, mwendesha mashtaka wa serikali Lusiana Shaban...
  3. mshale21

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

    Babati. Mkazi wa mtaa wa Kiongozi Mjini Babati mkoani Manyara, Lucas Mangu (46) amefariki dunia kwa kujinyonga mara baada ya kumuua mke wake Anna Kisino (41) kwa kumpiga kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Marrison Mwakyoma akizungumza na Mwananchi Digital leo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Manyara: Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

    Mkazi wa Kijii cha Ng’wandakw, Kata ya Haydom Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Philemon Tandu (50) amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kuachwa na mke wake akiwa na watoto watano. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, kamishna msaidizi (ACP) Marrison Mwakyoma akizungumza jana alisema tukio...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wizi malipo Mock mkoa wa Manyara

    Hii dhuluma kwa walimu zitaisha lini?kwa halmashaur ya wilaya babat afisa taaluma sekondari wilaya amelipwa 270,000/wakuu wa shule wanajiita kamat ya mitihan 240,000.waalimu waliosahisha kwa siku tatu wamelipwa elfu 20,000. Wengi walitumia nauli hapo toa elf 6 kwa siku 3.waalimu waliotokea...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama mkoani Manyara yamhukumu miaka 20 dalali wa meno ya Tembo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Manyara imemhukumu dalali wa biashara ya meno ya Tembo Bw.Bernard Masalu Mgalula (54) mkazi wa jiji la Dar es Salaam kutumikia kifungo cha miaka 20 baada ya kukiri kosa la kuhujumu uchumi kwa kukutwa na meno 13 ya Tembo yenye thamani ya shilingi milioni 240...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manyara: Wafanyabiashara waliomhonga Mkurugenzi wa Halmashauri ya Simanjiro wahukumiwa

    MWENYEKITI wa soko la Mirerani, Mkoani Manyara, Yesaya Songelael Yindi amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Simanjiro, Yefred...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

    Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi? Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

    TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai. Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6. Hizi ni baadhi ya Kesi...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli. Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Karasha ya Wachina wafunga milango Singida

    Karasha ya kokoto ya Wachina hapa Singida hatimaye wamefunga kazi zao Ijumaa iliyopita wakidai kushindwa kutokana na kodi kubwa pamoja na tozo mbali mbali. Raia hao wa Kichina, waliajiri Watanzania 47 ambao wanarudi mtaani. Tukumbuke karasha ilikuwa inatoa ajira nyingine kwa waendesha malori...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mama aua watoto 3 kwa kuwalisha sumu kutokana na ugomvi wa kifamilia na mume wake

    Mama mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Regina Daniel (24) mkazi wa Louxmanda Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, anatuhumiwa kuwauwa watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodaiwa ni ya Panya . Tukio hilo la kusikitisha limetokea Desemba 5 mwaka huu ambapo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Mganga awafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu. DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini. Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Wana Manyara

    Nimekita kambi maeneo ya mwambao wa ziwa manyara kama sehemu ya ziara ya kuijua tabia asilia ya Masai, wambulu, Wamang'ati na wengineo! Huku napata kujua misingi na tabia ya asilia kutoka kwa mababu zao ni ipi! WAMBULU Mzee mmoja wa kimbulu ananidokeza kwamba, Kwao mwanamke ambaye Ujauzito...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Manyara: Bei ya Alizeti yapanda kutoka 30,000 mpaka 60,000 kwa debe

    Wamiliki wa viwanda vya kukamua na kusindika alizeti, mkoani Manyara, wanakabiliwa na uhaba wa malighafi kutokana na kupanda kwa bei ya zao hilo, kutoka shilingi elfu thelathini (30,000) hadi elfu sitini (60,000) kwa debe. Source:
  17. K

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Watu wanaozidisha kiwango cha kelele usiku wanachukuliwa hatua gani?

    Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki...
Back
Top Bottom