Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
endelea.....
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya...
Mange Kimambi ana watoto watatu.
Wawili wa kiume ni raia wa Marekani.
Mmoja wa kike ni raia wa Uingereza..
Ye ye mwenyewe anaweza kuwa na uraia wa Marekani kupitia ndoa y/zake.
Babake na mamake ameshawazika wote.
She has nothing to loose hata kilichafuka Tanzania yeye hawezi kupata madhara...
Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja
Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
Mange Kimambi au kama watu wengine wanavyomuita Dada wa Taifa ni miongoni mwa Socialites wanaolipwa vizuri kwa kazi zao za mitandao.
Kwa wachache msiomjua, Mange Kimambi ni Mwanamke mwenye asili ya Tanzania aishie Marekani na mwanaharakati anayepinga vikali ufisadi na matendo yote mabaya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM
"Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo...
Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.
Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia...
Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali...
Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania
Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
Aman iwe nanyi watu wa MUNGU
Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu
Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais...
Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita...
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao...
ateuliwa
ccm
halmashauri
halmashauri kuu
halmashauri kuu ya ccm
jokate
jokate mwegelo
kamati kuu
katibu
katibu mkuu
mangemangekimambi
mkuu
mtu
taifa
uteuzi
uwt
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote
Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta
Jamaaa alikuwa na marafiki wengi...
Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu.
Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.