Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Dream Queen

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
8,230
17,940
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?

UPDATE: Naishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kusikia Vilio vya wengi juu ya yule Dhalimu mwenye Matatizo ya Akili pamoja na genge lake kwa kufungia Malipo ya App yake, tunaomba iwe Permanent ili Tabia hizo chafu zikomeshwe na isiishie hapo tu, kwa Umoja wetu tufanye maandamano huko Insta ili akaunt yake ipigwe Life Ban.
 
Jamani si ni shujaa wa watu huyu, kuna watu wanamshangilia na wamekuwa wakimtumia kama msemaji wao tangu enzi za mwendazake........ tulikataa na kupinga yale yote ila tukaonekana hajujielewi.........acha aendelee kuwapapasa sharubu maana mbwa ukimdekeza sana atakufuata hadi Msikitini
 
mqdefault.jpg
 
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo,

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu adhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?
Serikali imeshaifungia app yake haionekani Tanzania mpaka uwe na VPN. Yupo marekani msubirini arudi
 
Tatizo ni la anayefanya kitu ambacho ni natural (wengi wanafanya), au anayerusha faragha za watu / mununuzi au wale ambao wanalipia / wanasumbuka kuangalia faragha ya watu ? Kwangu mimi Mrushaji na mtafutaji wote ni walewale

Ukiangalia sana kinachoendelea sababu kina gap in market (wapenda umbeya, kufuatilia maisha ya watu na wakosa kazi) basi huyu ni kwamba anakidhi ile need.., (Rightly or Wrongly) lakini wale wawezeshi wake ndio wanaompa pumzi
 
Inasemekana online App yake imesajiliwa Tanzania,ana wafanyakazi Tz, physical address ipo Dsm na ilikuwaonyesha yeye ni exceptional alionana na kupiga Picha na Rais wenu ,Kifupi Serikalini haijashindwa bali inawezekana watendaji wanaogopa kupoteza vibarua vyao Kwa kisingizio Cha Mama kaleta Uhuru wa habari.......
 
Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
 
Back
Top Bottom