mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Shirika la Upelelezi Marekani FBI laanza kufuatilia kwanini raia wake Mange Kimambi usalama wake uko hatarini

    Wadau kama mnavyojua FBI(Federal Bureau of Investigation) ni shirika kubwa la usalama wa ndani na upelelezi wa uhalifu lenye mamlaka ya kufanya kazi za kijasusi ndani ya nchi ya Marekani. Hatimaye wamenusa harufu ambayo sio nzuri kwa raia wake na activist mkubwa Mange Kimambi ambaye amekua...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA yazuia maudhui ya Mange Kimambi kuonekana Tanzania. Waamuru Meta kufuta post zake!

    Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote. Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi...
  4. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Je Mange kimambi anastahili zawadi gani

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani? Hakika anapambana Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

    Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa Rachel Dangwa amempiku na amejizolea...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na washirika wako nakwambia hivi: Maandamano ya kweli huwa hayatangazwi hii movement ishafeli big time 100%

    Huwezi ukawa unataka kushinda vita kwa kuropokaropka mbinu zako za kivita kwa adui yako ambaye muda mwingi yupo kimya akikusoma tu ilihali unajua kabisa unayemropokea ana nguvu kila idara. Mange kimambi na washirika wake wanaofanana tabia za kimovement za aina hiyo nawaambia tu kwamba kwa hili...
  12. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Msanii Aslay wafikishwa Kortini, wadaiwa fidia Billioni 5

    Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Katika hati ya madai, Mange anatajwa kuwa mkazi wa Los Angeles...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni

    Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni. ( Of course anazo) Nguvu ambayzo angeweza kuzitumia either against Samia's Government or in favour of Samia's Government kipindi hiki cha Uchaguzi. Probably serikali ya CCM ilimfuata kuomba kumtumia, kwa yeye kukaa kimya kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aisapoti " OKTOBA TUNATIKI" eidha kwa kujua ama kutokujua

    Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe. Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE. NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

    Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga. Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Ku-unfollow wasanii inayoendeshwa na Mange Kimambi imeleta athari ya chini ya 0.2%

    Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:- endelea..... Mytake: Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania si mnasemaga hamuwezi kuongozwa na mwanamke kwa sababu wanawaza kwa hisia, mbona sasa Mange Kimambi anawaelekeza cha kufanya na mnafuata?

    Mange Kimambi ana watoto watatu. Wawili wa kiume ni raia wa Marekani. Mmoja wa kike ni raia wa Uingereza.. Ye ye mwenyewe anaweza kuwa na uraia wa Marekani kupitia ndoa y/zake. Babake na mamake ameshawazika wote. She has nothing to loose hata kilichafuka Tanzania yeye hawezi kupata madhara...
  20. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

    Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
Back
Top Bottom