mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

    Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani. Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience. Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari...
  2. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Mange Kimambi awe Mkuu wa Idara ya Upelelezi na ujasusi wa Gen Z

    Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari. Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemuuza Rasmi Mange Kimambi. Funguo rasmi ya udhibiti wa umma iliyoporwa Oktoba 29, inaenda kurudishwa

    Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa. Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea. Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi. Imeshafahamika, Wanapiga CURFEW Wanazima...
  4. Pakome

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano ili ufe nao kinyume na hapo wewe ni Mhalifu na Tapeli

    Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

    Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani? Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

    Habari aliyoitoa mange mda huu kwamba tesha yupo uraiani tena nje ya nchi halafu mange anasema anayajua mengi kuhusu tesha ila anasema hawezi kuongea Sana ataharibu mambo
  8. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi relentless efforts to promote Democracy in Tanzania

    The sun over Dar es Salaam was a relentless, burning eye, but it was nothing compared to the fire in Mange Kimambi’s heart. In a nation where the political landscape was often painted in monochrome, she had chosen to wield a brush of every color, and her canvas was the airwaves. It did not...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hili la Mange Kimambi kuwahusisha Wazanzibari na mauaji ya bara limenihuzinisha sana

    Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu. Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
  10. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

    Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua! Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe...
  11. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Kwako Mange

    Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako? Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza? Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania FULL DEAL: Umeelewa Kauli ya Mwanasheria Mkuu, Kumkamata Mange Kimambi?

    Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano. Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA. Moja kwa moja kwenye point; 1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

    Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kwa Watanzania wanaomsikiliza na kumuamini Mange Kimambi

    Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious? Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: FBI wamenitaarifu Serikali ya Tanzania imewapa kazi Mexican cartel waniue

    Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI. Yamesemwa leo na Mange mwenyewe. Mara ya kwanza alitahadharishwa hayo wiki mbili zilizopita wakati akipanda ndege...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  18. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Wasimamizi wa Uchaguzi Walipewa Maelekezo Wamtiki "Samia" Katika Karatasi za Kupigia Kura (Video za Ushahidi Zipo)

    Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Masikini Mange Kimambi

    Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania. Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari. Kwa nguvu alizotumia Mange...
  20. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

    Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope . NAJIULIZA YAFUATAYO? 1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
Back
Top Bottom