maneno ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
  3. maroon7

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Mbarali, Steven Katemba azuiwa kuchomekea maneno ya Kisiasa msibani kwa Padre Vitalis Bamuhiga

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga. Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...
  5. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

  7. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya majukwaani yanaweza kuathiri hukumu kwa kesi iliyopo mahaamani?

    Nimejikuta na kiu ya kujifunza kutoka kwa watu wa kada ya Sheria mliomo hapa jf Kama hamtojali kutumia muda wenu kutuelimisha. Nitafurahi Kama mtanisaidia kuelewa juu ya kauli zinazotolewa nje ya vyumba vya mahakama zinavyoweza KUATHIRI mwenendo na hukumu ya kesi ILIYOPO mahakamani.
  8. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Bado nayakumbuka maneno ya hekma ya yule mzee

    Bila shaka mko vizuri wanajukwaa... Leo wacha niwape maneno ya yule mzee ili mnisaidie kuyatafakari. Huyu mzee alianza kwa kuniambia kwamba kimsingi ndani ya kila mtu kuna mbawa za kuruka juu ya upeo wa mafanikio, lakini si kila biashara ni upepo unaoweza kumuinua kila arukaye. Hii ni sentensi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  10. wasumu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Kiongozi na mwalimu Olumba Olumba Obu

    Hii ni bandiko ambalo kila siku nitakuwa naweka maneno ya Baba mtakatifu OLUMBA OLUMBA OBU Ujumbe wa: Jumatatu (23-06-25) MANDHARI: USafi: UFUNGUO WA UFALME WA MUNGU (Dondoo 4) SOMO LA KWANZA - 1 Wakorintho 5:11 SOMO LA PILI - 1 Wakorintho 6:18 NUKTA YA DHAMABU - 1 Wakorintho 7:4-5...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mzee Kikwete " Labda Mambo Yaharibike Saana " yametimia rasmi

    Wahenga walisema nyakati huzungumza. Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana. Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza maneno ya Nape, DC Longido, Polepole na sasa Naibu Waziri Sangu lazima ukubali No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania.

    Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

    Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena Sebule- wanasema seble Muziki- wansema mziki Muda- wansema mda!
  17. A

    JamiiForums Tanzania Reconciliation, Resilience, reform , Rebuilding ni maneno ya kiingereza yanatakiwa kufuatwa na mstaarabu Yeyote

    Reform=mabadiliko Resilience=ustahimilivu Reconciliation=kuridhiana Rebuilding=kujenga Upya Sasa kumetokea kambi moja inayotumia maneno hayo kama vile ni maneno au tabia yao na wengine wanapata fadhila kwa kupewa maneno hayo. Suala jingine ambalo ni muhimu kuliko kuyatamka maneno hayo ni...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  19. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kama yaliyoandikwa kwenye ufunuo yatatokea, tuna tabu sana!

    Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo. Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye vikombe vya gadhabu. Yaani nikiwa nasoma halafu naimagine yanatokea. Tetemeko ambalo halijapata...
Back
Top Bottom