Kiukweli, Mandonga hakutendewa haki

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.

Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya tatu ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa Karim Mandonga aka Mtu Kazi.

Binafsi, sikuwahi kuwa bondia wala mwamuzi. Lakini, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa ndondi tangu miaka ya 90 mwanzoni. Kwahiyo, nimejifunza sheria na taratibu za ndondi kwa njia ya kuona.

Jana, wakati Mandonga alipopigwa ngumi kali ya mkono wa kulia ya Golola, alinguka vibaya chini akitanguliza sura. Lakini, alikuwa anataka kunyanyuka. Cha kushangaza, refarii aliwahi kumaliza pambano.

Refarii hakumpa nafasi Mandonga ya kuinuka na kuanza kuhesabiwa ili kujulikana kama anaendelea au la. Kitendo cha Mandonga kuwa anajiinua kutoka chini, refarii aliwahi kumaliza pambano na huku akiwa kama anamzuia Mandonga asiinuke.

Mandonga amenyimwa nafasi yake halali ya kuinuka na kuhesabiwa. Hakutendewa haki. Anapaswa kupiga au kupigwa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu za ndondi. Au labda kama kulikuwa na sababu nyingine ambayo mimi layman wa ndondi sikukijua.
 
Wewe wale wamepitia mafunzo unataka kitokee kilichowatokea Azam kule kwa waarabu refa kaacha wachezeane rafu wakaanza kuvunjana uwanjani unaelewa maana ya refa kwanza?
 
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.

Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya pili ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa Karim Mandonga aka Mtu Kazi.

Binafsi, sikuwahi kuwa bondia wala mwamuzi. Lakini, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa ndondi tangu miaka ya 90 mwanzoni. Kwahiyo, nimejifunza sheria na taratibu za ndondi kwa njia ya kuona.

Jana, wakati Mandonga alipopigwa ngumi kali ya mkono wa kulia ya Golola, alinguka vibaya chini akitanguliza sura. Lakini, alikuwa anataka kunyanyuka. Cha kushangaza, refarii aliwahi kumaliza pambano.

Refarii hakumpa nafasi Mandonga ya kuinuka na kuanza kuhesabiwa ili kujulikana kama anaendelea au la. Kitendo cha Mandonga kuwa anajiinua kutoka chini, refarii aliwahi kumaliza pambano na huku akiwa kama anamzuia Mandonga asiinuke.

Mandonga amenyimwa nafasi yake halali ya kuinuka na kuhesabiwa. Hakutendewa haki. Anapaswa kupiga au kupigwa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu za ndondi. Au labda kama kulikuwa na sababu nyingine ambayo mimi layman wa ndondi sikukijua.
Udondokaji wake ilikuwa tosha refa kuchukua uamuzi wa busara kama ule, ni sehemu ya maamuzi sahihi ambaye refa ana haki na ni wajibu wake pia kuwalinda mabondia.
 
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.

Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya pili ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa Karim Mandonga aka Mtu Kazi.

Binafsi, sikuwahi kuwa bondia wala mwamuzi. Lakini, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa ndondi tangu miaka ya 90 mwanzoni. Kwahiyo, nimejifunza sheria na taratibu za ndondi kwa njia ya kuona.

Jana, wakati Mandonga alipopigwa ngumi kali ya mkono wa kulia ya Golola, alinguka vibaya chini akitanguliza sura. Lakini, alikuwa anataka kunyanyuka. Cha kushangaza, refarii aliwahi kumaliza pambano.

Refarii hakumpa nafasi Mandonga ya kuinuka na kuanza kuhesabiwa ili kujulikana kama anaendelea au la. Kitendo cha Mandonga kuwa anajiinua kutoka chini, refarii aliwahi kumaliza pambano na huku akiwa kama anamzuia Mandonga asiinuke.

Mandonga amenyimwa nafasi yake halali ya kuinuka na kuhesabiwa. Hakutendewa haki. Anapaswa kupiga au kupigwa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu za ndondi. Au labda kama kulikuwa na sababu nyingine ambayo mimi layman wa ndondi sikukijua.
ni mtu aanejikubali lakn ujue..sema apambane tu
 
Ulitaka afe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom