Manara: Nilikuwa naroga watu waje Uwanjani

Manara: Nilikuwa naroga watu waje Uwanjani

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,034
Reaction score
3,664
Msemaji wa Timu za Taifa Haji Manara amesema wasemaji wasipewe lawama mashabiki kutokuja uwanjani na hata kipindi yeye akiwa msemaji alikuwa anapata shida mpaka anaroga ili tu mashabiki wajae.

Nakubari hapo kweenye kupigwa chalekibao mwilini ili watu wajae watu wanarogwa mpaka wengine wanafia uwanjani weee Mama Amina
 
Msemaji wa Timu za Taifa Haji Manara amesema wasemaji wasipewe lawama mashabiki kutokuja uwanjani na hata kipindi yeye akiwa msemaji alikuwa anapata shida mpaka anaroga ili tu mashabiki wajae.

View attachment 3676006
Hata leo wanaokwenda ni kutokana na nguvu za uchawi, ulozi. Mtu anayemjua Mungu wa kweli hawezi kwenda kwenye mpira wa Simba na Yanga.
 
Na atakuwa aliroga waende kwenye kampeni zake. Kifupi wote wanaoenda kwenye shughuli za Manara ni wamerogwa.
 
Back
Top Bottom