man city

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Beki wa Man City ajutia usaliti kwa Mke wake

    Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake. Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV. “Nilichokifanya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man City na Liverpool ngoma yaisha kwa sare ya 1-1, Guardiola na Nunes warushiana maneno

    ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023 Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man Utd ya 2008 Vs Man City ya 2023 | Nani angeibuka na ushindi kutokana na ubora wa vikosi vyao?

    Chukulia vikosi vote katika ubora wake, Man Utd iliyoshinda Uefa Champions League 2008 Vs Man City iliyoshinda UCL 2023 nani angeibuka na ushindi?
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Man Utd haitofungwa leo na Man City

    Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo. Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka. Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mcheza kikapu NBA Mamadou N’Diaye akiwa na wachezaji wa Man City

    Wale mnaosema Haaland ni bonge la mtu basi mje muone jitu la miraba minne huku. Pichani ni mcheza kikapu wa NBA ambaye ni Msenegal akiwa na wachezaji wa Man City akiwemo Haaland.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CARABAO CUP: Newcastle kuivaa Man City, Man United yapewa Crystal Palace

    Droo ya Raundi ya Tatu ya Kombe la Carabao Cup imepangwa ambapo timu kadhaa za Premier League zimepangwa kukutana kuwania taji hilo ambalo bingwa mtetezi ni Manchester United. Mechi zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ni Manchester City vs Newcastle United, Man United watawakaribisha...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Sevilla | Uefa Super Cup | Karaiskakis Stadium | 16.08.2023

    Majira ya Saa 4:00 Usiku utapigwa mcheza wa Uefa Super Cup kati ya Man City dhidi ya Sevilla. Ni mchezo wa ufunguzi kwa msimu mpya wa mashindano kwa ngazi ya vilabu barani Ulaya. Mchezo unaowakutanisha mabingwa wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya mabingwa wa Europa league. Man City itamkosa...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Arsenal | Ngao ya Jamii | Wembley Stadium | 06.08.2023

    Leo kuna mchezo mkubwa sana pale England. Ni mchezo wa ngao ya jamii, Man City Vs Arsenal. Man City ni bingwa mtetezi wa EPL pamoja na FA Cup hivyo atakutana na Arsenal aliyeshika nafasi ya pili msimu uliopita. Miaka ya karibuni Arsenal amekuwa kibonde wa Guardiola, watu wanatarajia labda...
  9. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

    Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe. Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Manchester City na Inter Milan tukutane hapa kabla ya Fainali 10-06-2023

    Salamu kwenu nyote. Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency, presence in final third, set pieces threats, conversion of chances created, 3-5-2 formation...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria. Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia ubatizo wa moto kwenye soka ndio huo: Man city 4 - 0 Real Madrid

    Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto. Hongera Man City, ila chonde chjonde usije ukamla ngo'mbe mzima ukashindwa kumalizia mkia!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simpendi Guardiola na mimi siyo shabiki wa man city ila nawaombea kwa Mungu washinde

    Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid. Ilivunja sana mioyo ya mashabiki wa Man City walipokuwa na uhakika kabisa wanaenda fainali kukutana...
  15. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Nimeweka uzi wa mechi ya leo Madrid Vs Man city alafu umepotea,shida nini?

    Moderator leo kuna game ya Real Madrid Vs Man city. nimeweka uzi jukwaa la sports tupate apdate lakini uzi umeyayuka shida nini!
  16. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Leo ni Real Madrid Vs Man City wanafamilia wa soka mpo?

    wapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024. kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini! haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

    Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu. Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1 Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Arsenal | Mchezo utakaotoa taswira ya ubingwa

    Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal. Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City. Mara ya mwisho Arsenal kumfunga City katika ligi ni mwaka 2015. Utaona ni namna gani mchezo wa leo ulivyo...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Msimu huu wa 2022/23 Yanga na Man City, wote watabeba makombe matatu

    Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

    Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho) wakati wenzao wa North London game ni chache...
Back
Top Bottom