man city

  1. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO". nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae chukuliwa kama 50 cent wakati ana hadhi ya 20% zimepita siku sabini toka niandike yale na nilipingwa sana na...
  2. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Manchester City wafanikiwa kukwepa adhabu ya kufungiwa UEFA

    Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m === Manchester City's hopes of playing in next season's Champions League rest on the outcome of an appeal due to be announced at 9.30am this morning. City were...
  3. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Kusuka au kunyoa kwa Man City

    Manchester City wanaelekea katika moja ya wiki kubwa kuwahi kutokea katika historia yao wakijua kwamba , heshima yao , nafasi yao ya kucheza ligi ya mabingwa ulaya na kikosi chao cha msimu ujao , vyote hivyo vipo hatarini kupotea Kesho jumatatu, rufaa yao dhidi ya kifungo cha kucheza Ligi ya...
  4. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Mama wa Meneja Pep Guardiola amefariki baada ya kugundulika na ugonjwa wa coronavirus

    Breaking News-CORONAVIRUS: GUARDIOLA'S MOTHER DIES AFTER CONTRACTING COVID-19, MAN CITY CONFIRM Manchester City announced the mother of manager Pep Guardiola has died after being diagnosed with coronavirus. Pep Guardiola's mother has died aged 82 after contracting coronavirus, Manchester...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa misimu miwili kushiriki UEFA, huenda Manchester City ikapunguziwa alama za Ligi na kushushwa daraja

    Timu ya Manchester City imefungiwa kushiriki mashindano ya European Champion League na Europa League katika misimu inayokuja ya mwaka 2020 / 2021 na 2021/ 2022. Hii inatokana na timu hiyo tajiri ya Uingereza kukiuka kanuni za matumizi ya kiwango cha pesa ktk kusajili wachezaji. Timu zote ulaya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu ya man city vs Chelsea

    Leo kutawakutanisha team ya man city vs Chelsea na inategemewa itakuwa game nzuri. tuanze kuona strength na weakness za Kila timu. Strength ya Chelsea Bahati nzuri kwa Chelsea leo trio midfilder wao wakali yaani kante,jorginho na kovacic wote wapo fit na inategemewa wote wataanza kwa...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tottenham yamtimua Pochettino na benchi lote la ufundi. Jose Mourinho ateuliwa kuinoa Klabu hiyo

    Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za ndani msimu uliopita na matokeo ya msimu huu si ya kuridhisha Pochettino aliyeiongoza timu hiyo kufika...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hazard: Chelsea atamfunga man city

    Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs Chelsea anayeshika nafasi ya 3 ya league. Hazard ameiambia sky sports yeye anaona Chelsea ataibuka na...
  9. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

    Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
Back
Top Bottom