Baada ya Real Madrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, Manchester City inataka kuboresha mshahara huo ili kumshawishi abaki.
Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika michuano yote msimu huu, ana mkataba hadi Mwaka 2027
Kwa sasa, Haaland analipwa Paundi 375,000 kwa wiki...
Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe.
Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu,
Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge..
Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje????
Man U...
Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba.
Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Oktoba 2, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, atakwaruzana na Walima Zabibu Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mechi huenda ukawa ngumu kwa pande zote mbili, hasa ukizingatia kwa kila timu kujipanga ili kupata...
Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka.
Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji.
Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka.
Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu
Na nyie mmeona Man Utd kapewa nafasi ya kufuzu eti kutokana na historia yake, sasa anahistoria gani Man Utd? Kwani Aston Villa...
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5.
Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata...
Mchakato wa Manchester City kuelekea kumsajili Erling Haaland wa Borussia Dortmund unaelekea pazuri hiyo ni baada ya kudaiwa kuwa wameshafikia makubaliano ya mshahara wa paundi 500,000 (Tsh bilioni 1.5) kwa wiki.
Man City inataka kukamilisha mapema mchakato huo mapema, ada ya usajili inatwa...
Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen
Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno
Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu
timu hovyo kocha hovyo
kila mechi wanaruhusu mabao
wapo wazi nyuma wanaruhusu tu
Angeenda Man city timu za hovyo...
Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa mchezo kuwa ni saa sita na nusu kwa saa za Uingereza basi leo Man City hatofungwa na Chelsea.
Hivyo...
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to Score.
1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz
Hapo vipi?
Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa Wembley
-
UEFA ililazimika kutafuta uwanja mbadala kutokana na mlipuko wa ugonjwa #COVID19 katika nchi...
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa.
Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati...
Habari.
Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:
Leg 1.
27 April 2021 Tuesday
Paris Saint Germain Vs Manchester City
Real Madrid Vs Chelsea
Leg 2.
04 May 2021 Tuesday
Manchester City Vs Paris Saint-Germain
Chelsea Vs Real Madrid
Hapo bila kupepesa...
Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship
Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool itasafiri kwenda Stamford Bridge kuchuana na Chelsea na mchezo wake wa tatu utakuwa dhidi ya Bingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.