man city

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Arsenal na Man city zimecheza mechi 23 za ligi, Zote Zina penalties 2 tu, Simba mechi 16 penalties 8..Tafakarini

    Tuweke Ushabiki kando. Hii ligi yetu inaelekea wapi. Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza. Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi. Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiuhakika nina enjoy sana magumu ya Man City

    min -me Oil money fc a.k.a tuhuma 130 za utapeli anapigwa na villa huko Safi sana.. Ahssante "fraudiola"
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: Jose Mourinho anatamani Man City ishushwe daraja

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja Awali, Guardiola alinukuliwa akisema yeye alibeba mataji sita ya Premier League tofauti na Mourinho aliyebeba matatu, kauli ambayo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa Pep Guardiola 'hapatikani' na hatumii simu yake ya mkononi, ajificha kuokoa Jahazi la Man City

    Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake. Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Man city wanapaswa kujifunza kutoka kwa Yanga, Waonane na Eng. Hersi kabla mambo hayajazidi kuharibika

    Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa wachezaji ambao mara kadhaa hutumika kama kisingizio, Ila ukomavu kifikra na uzoefu wa mchezaji ni jambo...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola mbioni kuongeza mkataba mpya Man City

    Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa City. Guardiola (53) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake wa sasa ambao...
  8. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Dah! Masikini Man City

    Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa. Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo

    Mshindi wa Ligi Kuu ya Uingereza na Euro, Rodri, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa kiume duniani kwa mwaka 2024, akiwa kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo. Kiungo wa Manchester City, Rodri, ametunukiwa tuzo ya Ballon d’Or baada ya msimu bora uliomletea mafanikio katika ngazi ya klabu na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Man city leo kafunga kama la Simba, mbona limekubaliwa?

    Inabidi tujiulize kidogo, mbona goli hili limekubaliwa? Kwanini la Simba jana limekataliwa? Nb: mimi ni yanga
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tufuatilie Sakata la Man City kwa makini tukijitathmini

    Angetile Osiah Kwa sasa dunia inafuatilia kwa makini na kusubiri kwa hamu mwenendo na uamuzi wa mashtaka 115 ya uvunjaji wa kanuni za kifedha unaotuhumiwa kufanywa na klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya soka ya England. Kamisheni huru inayosikiliza shauri hilo ilianza kazi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Pep Guardiola asema Kevin De Bruyne anabaki Man City

    Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kiungo wat imu yake, Kevin De Bruyne hana mpango wa kuhamia Saudi Arabia kama...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika. Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016 amesaliwa na miezi 12 katika mkataba wake na vyanzo vya Habari kutoka ndani ya klabu yake vinaeleza kuwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ubingwa wa Premier League 2023/24 utatua kwa Arsenal au Man City?

    UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY? 1. Manchester City Pointi 88 GD 60 Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023 2. Arsenal Pointi 86 GD 61 Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani. Au kanuni zimeshabadilika
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: UCL Mechi za Robo Fainali | Arsenal 2-2 Bayern Munich, Real Madrid 3-3 Man City | 09/04/2024

    Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League. Arsenal Vs Bayern Munich Real Madrid Vs Man City Karata yako unatupia kwa nani?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Premier League: Man City 0-0 Arsenal ni kivumbi, Machi 31, 2024

    Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ 2023/24 zinazidi kushika kasi, Manchester City itakipiga dhidi ya Arsenal kwenye Uwanja wa Etihad, leo Machi 31, 2024. Msimamo wa Timu Tatu za juu, Arsenal pointi 64, Liverpool (64) na Man City (63), hivyo atakayeshinda leo anaweza...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

    Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa. Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena. Hii haina tofauti na Match ya Simba Vs Ahly ambayo kila mtu anajua hakuna maajabu lazima...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania EPL: Man City yaibamiza Man Utd 3-1

    Timu ya Man City imezidi kujiwekea mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wake wa EPL baada ya kuwafunga wapinzani wao wa Jiji la Manchester timu ya Man Utd kwa magoli 3-1. Man Utd ndio walikuwa wakwanza kupata goli kupitia Rashford dakika ya 8. Man City wakasawazisha dakika 56 kupitia Phil Foden...
Back
Top Bottom