Leo ni Real Madrid Vs Man City wanafamilia wa soka mpo?

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Nov 24, 2022
5,521
11,291
wapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024.

kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini!
haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea huu mtanange.
mbungi itapigwa saa 4:00 usiku wa leo.
 
leo nipo City kwa mkopo
 
nashindwa kutabili madrid atapatia wapi matokeo home or away ila nachojua 1000% city mwendo anaumalizia hapa hapa nusu...PIGWA MSHANGAO WA KARNE NA BENZEMA,RODRYIGO NA VINIjr
 
Mpk Sasa Madrid kashafuzu aijalishi Kwa goli ngap ila anaenda fainali....
 
hii ni mechi ya kiutu uzima mida ya wakubwa watoto kina Man U,Arsenal,Chealse,Napoli,PSG washalala usingizi.
 
naam dk 90 zimetamatika Madrid 1-1 Man city.
tusubiri mechi ya marudiano itakayoamua nani mbabe baada ya mechi ya leo kutoka draw ya magoli.

Kama Carlo Ancelot asipojipanga vyema Pep atamfanya vibaya mechi ya Marudiano,ingawa Madrid anarecords nzuri ya kushinda ugenini kwenye hii michuano lakini Man city wameonyesha uwezo mkubwa sana wa kuzuia vimbunga vya magoli kutoka kwa Vinius jr,Tony Kroos,Vidic pamoja na jini Kareem Benzema wakiwa ugenini,yote kwa yote tusubiri huo mtanange wa marudiano dk 90 zitatupa majibu.
 
Back
Top Bottom