mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Leo(just..joto) si njema. Mamlaka zitie tahadhari

    Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
  2. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  4. waBasila

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya watalii Arusha Airport: Ni malalamiko ya kimaslahi ya madereva waliolalamikiwa na wageni, ila sio malalamiko ya wageni dhidi ya mamlaka

    Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
  5. ERoni

    JamiiForums Tanzania Mamlaka, Jengeni maeneo ya watu kupumzika na kuhuisha akili zao

    Wakuu, Ni ajabu sana kuona miji midogo ndani ya majiji haina sehemu zenye utulivu kwa ajili ya watu kupumzika na kutembea, huku wakicheza na watoto wao, wakinywa soft drinks na bites, wakipiga picha na kupumzisha mafuvu yao. Mji mdogo kama Mbezi-Kimara, kutwa ni shughuli za kiuchumi...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake (CHADEMA DIGITAL) Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Huawei kuunganisha watu na kusaidia mamlaka kukabiliana na changamoto kwa Tehama

    Na Gianna Amani Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu. Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
  8. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mahakama pekee ndiyo imepewa mamlaka ya kutoa hukumu ya Kifo na si vinginevyo

    Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama inawajibika kuwalinda raia wake kila wakati bila kujali hali zao au matendo yao. Haki ya Kuishi inakoma tu pale Mahakama inapotoa adhabu ya Kifo kwa mkosaji. Ibara ya 14 hadi 17 ya Katiba ya Tanzania inalinda Haki ya Kuishi kwa Sheria namba 15 ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi au Mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?

    Habari wana jf, Hivi ni taasisi au mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?
  10. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

    Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar. Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Waislamu ya Kawe Mzimuni yameshajaa Mamlaka itenge Eneo jipya ili 'Marehemu' wapumzike kwa Kujinafasi

    Kinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika. Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mamlaka kwa kupambana na Panya Road

    Pongezi kubwa kwa Jeshi letu la Polisi kwa kazi nzuri wanayo endelea kuifanya kuhakikisha hakuna cha panya rodi wala panya buku. Pongezi pia kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Makala kwa kuweka mikakati madhubuti ya kutokomeza uhalifu katika Jiji la DSM. Ushauri; 1. Zoezi la kupambana na uhalifu haswa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

    Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
  14. otembei

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ujenzi na uchukuzi, RC Mwanza na mamlaka ya bandari TPA wadai kutiwa mfukoni

    Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mwendokasi zinadharaulika na wenye mamlaka wenyewe

    Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani. Uvunjifu wa sheria na taratibu zilizowekwa umeonekana kufanywa zaidi na magari ya vyombo vya usalama, magari...
  16. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni Siasa za Freeman Mbowe; Anachofanya Maria Sarungi ni ukosefu wa heshima kwa Mamlaka halali

    Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya. Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Hulka za Wanaccm, bila mamlaka ya Uteuzi wangemchukulia kama Mwenyekiti wa TADEA tu

    Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao. Yaani ni hivi bila ya kuwa na mamlaka ya kuwateua na kuwapa ulaji wangekuwa anamchukulia kama Mwenyekiti w TLP au TADEA...
  18. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Utangulizi Utayari ni hali ya kuafiki au kukubali jambo fulani. Hivi sasa kumekuwa na mikanganyiko ya aina mbalimbali baina ya nchi na watu wake, huku ikionekana kuwapo kwa upinzani kutoka kwa wananchi juu ya masuala mbalimbali yahusuyo uendeshaji wa nchi kwa ujumla. Mpaka sasa ni dhahiri kuwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kila taasisi ikipewa mamlaka ya usimamizi wa mahabusu nani atawawajibisha wakifanya makosa?

    Luhanga Mpina ameyasema haya bungeni na kuhoji kuhusu mamlaka za uangalizi mahabusu kuwa wasimamizi wa mahabusu hizo akisema manyanyaso yanaweza kutokea na hakutakuwa wa kuwawajibisha kwasababu wao wenyewe ndiyo wasimamizi. Akaongeza kuwa kutakuwa na mkanganyiko mkubwa wa kushughulika na kesi...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watendaji Bodi ya Mkonge wahukumiwa kwa Matumizi mabaya ya Mamlaka

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Septemba 13, 2022 iliwahukumu Shabani Mapinda aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi na Imani Mduruma aliyekuwa Meneja wa Bodi ya Mkonge Nchini kifungo cha mwaka Mmoja jela kwa matumizi mabaya ya Mamlaka. Katika Shauri la Uhujumu Uchumi Namba ECC 06/2022, washtakiwa...
Back
Top Bottom