mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea nikawa na mamlaka, nitaivunja High court na kuiunda upya na majaji toka nje

    Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence Why? 1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment. 2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zifuatilie Daladala zinazohatarisha usalama wa Abiria kwa uendeshaji mbovu na Askari hawachukui hatua

    Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje. Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

    Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east. Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS. Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuzisaidie mamlaka kutenda kwa tafakuri na kuepuka undumilakuwili

    Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka zijitahidi kuzuia wananchi wasigeuke kuwa "Wananchi wenye hasira Kali"

    Salaam, Shalom!! Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka. Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Masikini, Mama Pendo (Single Mother wa Watoto Wawili) wa Tageta Machinjioni anavunjiwa Banda lake Saa Hii: Tumsaidie Mamlaka kuingilia kati

    Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。 Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ujenzi wa Njia Nne Bukoba unasuasua, Mamlaka hazifahamu barabara hiyo ndio mlango wa uchumi wa Mji?

    Oktoba 28, 2023, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera alielekeza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) - Kagera kumsimamia Mkandarasi M/s Abemulo Contractors Ltd afanye kazi usiku na mchana ya ujenzi wa upanuzi wa njia nne wa Barabara ya Bukoba...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za China zaweka mazingira maalum kwa ajili ya maisha ajili ya wazee

    Takwimu za mwaka 2022 kutoka Wizara ya Mambo ya Kiraia ya China zinaonesha kuwa idadi ya wazee nchini China, yaani watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi, imefika zaidi ya milioni 208.04, ikiwa ni karibu asilimia 20 ya wachina wote. Kutokana na maendeleo ya kiuchumi, kisayansi na teknolojia, umri...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ashiriki kupiga Kura katika Mji Mdogo Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu. Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) hasa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi. Tunaomba mamlaka ishughulikie

    Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za Wanafunzi. Pia soma > KERO - Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni. Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote. My Take Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

    Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake kama sio dharau Kwa mamlaka Mmekaribishwa vizuri Mwanza, Sasa mnazua taharuki na kujifanya mko...
  15. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  16. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Wakuu wa mamlaka za mapato Afrika Mashariki wakutana

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya. Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa namba ulikuwa ni mmoja ya silaha ya mamlaka za dunia kucheza na akili za watawaliwa.

    Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates, hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani. Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

    Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake. Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini. Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) upotevu huu wa maji hadi lini? Hili lishughulikiwe?

    Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe. SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa huohuo hayana maji wakati upande wa pili yanamwagika hovyo. Warioba unakaa sana ofisini Vijana wako...
Back
Top Bottom