KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni kwa muda tu mambo yamebana kiongozi, mafuta juu vipuri juu hela ya boss dereva mpiga debe bila kusahau ya kubrashia viatu
 
Arusha 1000 ni kama imekua rasmi sasa sijui sehemu zingine hali ikoje
 
Back
Top Bottom