mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama mnatamba kutwa mmesajili Kimataifa, mnafanya mambo haya ya nini?

    1. Kuroga kwa kukufuru 2. Kutaka kumhonga refa 3. Kutaka kuwapulizia sumu GENTAMYCINE nakumbusha tu kuwa safari ya kwenda kwao ikiwepo ombeni hata makomandoo 25 wa JWTZ wawasindikize na wakawalinde mkiwa huko kwani kupigwa, kujeruhiwa na kurushiwa mawe au hata risasi ukiwa (ukienda) kwao ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo gani haya?

    Ni nchi gani nyingine hapa duniani hutokea Mambo ya ajabu Kama haya?, haiwezekani nijiunge kifirushi Cha tsh2,000 kupata MB 1024 halafu Tena wanatuma sms eti nilijiunga kifirushi Cha tsh 1,000😲. Wakubwa huu siyo ujambazi?
  3. JamiiForums Tanzania Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu, Dar es salam leo Oktoba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022 Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni kwenye kazi hii, umejifunza mengi ukiwa nje. Nimeona uje unisaidie. TAMISEMI ni ileile uliyoiacha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Mulamula?

    Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri? 1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia? 2. Je...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

    1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi. 2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi. 3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu. 4 .........
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona mambo yanakua magumu ulingoni imebidi wajimilikishe kwa karatasi

    Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita. Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa. Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo Matano Ziara ya Rais Samia Suluhu Msumbiji

    Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  11. JamiiForums Tanzania Mambo Manne ya Kujifunza Kwa Vijana wa Pangoni

    Sura hii kama inavyojulikana inahusu vijana wa pangoni....lakini kuna matukio mengine ambayo ni mafunzo tosha katika Maisha yetu ya kila siku,na ndio maana imesisitizwa tuisome kila siku ya ijumaa. Funzo la Kwanza - siku zote tusitetereke katika kumwabudu Mwenyezi Mungu ambaye ndie WA...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia EAC kwa wanaogombea ubunge EAC

    KWA WABUNGE WANAOMBA KURA KUWAKILISHA BUNGE LA EAC HAYA MAMBO MUHIMU SANA YA KUZINGATIA "Asiyekubali kushindwa huyo sio mshindani" Binafsi nianze kwakukipongeza chama cha mapinduzi (CCM) kwa namna nzuri iliyotumika katika kuwapata wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa ngazi ya chama. Hakika...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Raia wamsaidia Polisi Mwanamke aliyekuwa akipambana kumuweka chini ya ulinzi mwanaume mmoja

    Police dashcam footage shows witnesses rushing to assist a female officer, who was involved in a physical confrontation with a 64-year-old man during a traffic stop. Chanzo: CNN ======== Angekuwa mtu mweusi, angekula shaba faster
  14. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

    Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu kufanya review ya vitu hata havielewi Pia same oraimo powerbank nikakuta review ya mkenya mmoja yeye...
  16. JamiiForums Tanzania Hebu tuwe realistic, haya mambo yalikuwa yana nafasi enzi za ujamaa sio dunia ya sasa

    Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani. Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa. Ni lini viongozi wetu watakuwa...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

    Ni baadhi ya mitambo iliyotelekezwa hapo jana katika mashambulizi ya Wanajeshi wa Ukraine mpakani na Urusi ambapo Ukraine wamefanikiwa kuukombo mji wa Khakiv kwa mafanikio makubwa sana
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi anayohitaji kila mwanadamu

    Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:- Chakula Sehemu ya kulala Afya njema Mavazi Chakula Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
  19. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

    Habari wanaJF, Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ? Ahsanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…