mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Every situations in life is temporary, uvumilivu ni muhimu sana pale mambo yanapokuwa mabaya.

    Everything has a price to pay.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: 1. Chanzo cha machafuko Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
  4. JamiiForums Tanzania Hauko siriazi na maisha kama unapambana na mambo haya kwenye mahusiano

    Kama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka hasana.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi ya chama hicho kutofanya shughuli za siasa, Heche ameeleza walivyosikitishwa na namna Jaji Hamidu...
  6. JamiiForums Tanzania Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua

    Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA." Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo. Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  8. JamiiForums Tanzania Vijana huru wa Tanzania watoa msimamo kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza Oktoba 29 hadi 31, 2025

    Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo yaliambatana na upotevu wa maisha, majeruhi, uharibifu wa mali na miundombinu, pamoja na kutoweka kwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles

    Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo(Mb), amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Jamhuri ya Seychelles Mhe. Barry Faure pembezoni mwa Mkutano wa Tisa Bahari...
  10. JamiiForums Tanzania Admini wa Page ya Polisi alipo-like mambo ya ajabu! Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

    Wakuu, Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌 Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake:KEKLaugh:. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai🌚 Hyyu afande amelike...
  11. JamiiForums Tanzania Kama mlango bahari wa Kigamboni ukifungwa mambo yatakuwaje Tanzania

    Hormz ya DSM pale Kigamboni imekaa kihasara hasara sana
  12. JamiiForums Tanzania Pale ninapokosa mtu wa kuchati usiku huu. Mambo yanakuwa hivi...

    Meta AI and me with my broke English......
  13. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

    Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima. Mambo hayo ni haya; 1. Chakula 2. Maongezi 3. Ngono Jiweka...
  14. JamiiForums Tanzania Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

    Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea. Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili. Baada ya kuletewa dini leo hii wewe ndio unajikuta unaijua zaidi ile dini kuliko walioileta, Kwamba wewe ulie Maneromango ndio unamjua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo! Eti kuna watu wapo kwenye sababu wanawadai wenza wao vinginevyo wangeshaachika

    Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea kubaki kusubiri mpaka alipwe ndio kama kuondoka aondoke. Sikiliza mwenyewe
  16. JamiiForums Tanzania Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

    Wanabodi Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!, Hili limjamaa, bonge la Zimbabwe, limekuja hapa nchini kwetu mara 4, likitua airport yetu kwa private jet yake na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
  20. JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…