mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MAMBO YA AJABU SANA HUKO NCHI ZA ASIA, DUBAI NA URUSI

    Kuna mambo nilijua nimeona na kusikia mengi ila hili alilolileata britanicca kwenye uzi wake wa episode 1 mambo yanayotokea huko ughaibun limenizuhuzunisha na kuona hela zinachukua nafasi ya ubinadamu. "Ntaendelea na kisa cha Mtanzania aliyeambukiwa online kufika anaambiwa wamnyee mdomoni na...
  2. JamiiForums Tanzania Watangazaji (waandishi wa habari) wa Tanzania kwanini siku hizi mnasema, "hizi mambo", badala ya "haya mambo"?

    Yaani Kila ukifungua redio utasikia, "hizi si mambo zangu", "mambo zako?" nk. Kibaya zaidi wanaozungumza haya ni vioo vya jamii na ni wasomi, kwamba lazima watakuwa wamesoma kipengele cha ngeli za nomino wakiwa O level. Nawasihi watangazaji waache hii tabia mara moja tabia hii.
  3. JamiiForums Tanzania Israel anataka kuiangusha Dola ya marekani (world superiority) marekani ameshtuka kabla mambo hayajaharibika

    Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu. Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wenye umri wa miaka 30 na kuendelea wanafanya na vijana wa kizazi cha Gen Z wanaona ni ya kushangaza ni pamoja na?

    - Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi. Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  6. JamiiForums Tanzania Kwa kupenda kwangu Chini nimefanikiwa kwenye mambo mengi sana

    jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

    Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
  8. JamiiForums Tanzania Je, Baadhi ya Mambo Aliyoonya Humphrey Polepole Yameanza Kujitokeza?

    Tangu alipoamua kuzungumza wazi kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, siasa na utawala nchini, Humphrey Polepole amekuwa mmoja wa viongozi waliozua mjadala mkubwa katika jamii. Wapo waliomuunga mkono wakisema alikuwa anatoa tahadhari muhimu kwa mustakabali wa taifa, huku wengine wakiona kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Je Taarifa Hii Iliyochapishwa na Jarida la Mambo ya Intelijensia Afrika Ina Ukweli Wowote Kuhusu Namba Samia na Nchimbi. Serikali Ikanushe

    My Take Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu. Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha. Mjumbe Hauwawi...
  10. JamiiForums Tanzania Kabla hujashabikia chama: Mambo 7 ya kujua kuhusu itikadi za kisiasa

    Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa itikadi ya kisiasa inayosimamia chama husika. Itikadi ndiyo msingi wa mawazo, sera na maamuzi ya chama...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ni mengi sana..tatizo muda

    Uzi umekamilika wakuu....
  12. JamiiForums Tanzania Mambo ya Tanga

    Video inajieleza. Uzi tayari.
  13. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo tunapaswa kujiambia kama ukweli mchungu kisha kufanyia kazi

    1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua. 2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu nguvukazi na maadili. Kodi kubwa ziongezwe huko ili kuwakatisha tamaa wawekezaji kwenye hayo mambo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wetu Dr.Samia anafanya mambo mazito kweli huku St.Petersburg

    Salute to madam you did well and excellent
  15. JamiiForums Tanzania Tujadili mambo ya msingi

    Ni sababu zipi, zinazo kukwamisha wewe kutokuwekeza biashara, kiwanda, au uchimbaji wa madini Ulaya?
  16. JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kwamba utafeli maisha ni kuchukia wanaokuzuia usifanye mambo Mabaya

    MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake, sio katika Uchapakazi wake, sio katika uhodari na ujasiri wake. 2. Ishara za mwanzoni ukitaka ujue...
  17. JamiiForums Tanzania Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

    Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  19. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli hapa ni mambo yamebadilika au chumvi tu

    Kwenu wakuu tuwekane sawa
  20. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…