mama yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inagusa sana: "Mwambie anipigie ni Mimi Mama yake"

    Copy na ku-paste, Mimi sio mwandishi Mwambie anipigie ni mimi mama yake! Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana. Mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie...
  2. JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyeua mtoto baada ya kumkuta mama yake na ARV ahukumiwa kifo

    Hukumu imetolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora dhidi ya Haruna Ndayanze baada ya kumkuta na hatia ya mauaji hayo kwa madai alibaini Mama wa mtoto anatumia Vidonge vya Kufubaza Virusi vya UKIMWI. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya, Demetrio Nyakunga alisema Mahakama imeridhika na ushaidi na...
  3. JamiiForums Tanzania Pombe ilimfanya apoteze utu wake, akose familia yake na kumzika mama yake mzazi

    Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika. Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
  4. JamiiForums Tanzania Fatma/Shangazi, bado hajamuelewa mama yake

    Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...
  5. JamiiForums Tanzania Zuchu ana asili ya unene au wembamba?

    Wapinzani wake wanasema kuwa anatumia juhudi nyingi sana za mazoezi na kujizuia kula ili asinenepe. Kweli ni mnene anayejikondesha ama ni kimbau mbau wa asili?
  6. JamiiForums Tanzania Tiba haina aibu: Mtoto mchanga wa kiume anapokuwa hasimamishi uume inabidi mama yake auingize kwenye uke wake

    Najua kuna watu watakuja na mambo ya kizungu ya utafiti, sayansi, research, n.k lakini haya mambo ya asili yana upekee wake yaachwe kama yalivyo,,, mfano wa sisi tulioishi bush kidogo, kidole kikiingia funza, tiba asili ni kuchuma ndulele na kuivika kwenye kidole unapona fasta tu, ni tiba ya...
  7. JamiiForums Tanzania Rombo: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Kushirikiana na Mpenzi wake Kumuua Mama yake

    Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi. Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nyani wamnyakua mtoto mikononi mwa mama yake, afariki dunia

    Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi. Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kutana na mchezaji wa Gabon aliyezaliwa 1990 mama yake alifariki 1986

    Mchezaji huyo ana kesi CAF kutoa ufafanuzi kuhusu umri wake
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe hata mama yake Zitto ni kilema?!

    Sikufahamu kwalo! "...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!" Mdau. Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa anamwambia mkewe arudi tumboni kwa mama yake kama hana future

    Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika. Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
  14. JamiiForums Tanzania Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
  15. JamiiForums Tanzania Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja aligundua mama yake mzazi anatoka kimapenzi na aliyekuwa mme wake

    Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25. Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
  17. JamiiForums Tanzania Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani

    Washitakiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi leo Jumatano Februari 23, 2022 wakikabiliwa na mashtaka ya kumuua Patricia Ibreack Paul (66) mkazi wa Rau mjini Moshi Kisha kuuzika mwili wake kwenye shimo nje ya makazi yake. Washitakiwa hao ni Wendy Mrema ambaye ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kigoma: Mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia kijana Helman Jonh (23) kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi Selina William (63). Akizungumza leo Jumanne Februari Mosi 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema kuwa kijana huyo alikuwa akimdai mama yake Sh300, 000. Amesema tukio...
  19. JamiiForums Tanzania Mama yake ameshafariki ndugu wanamsubiri ajenge choo

    Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single. Mzee alikua na familia yake na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA • Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe •Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…