Nimepigwa na bumbuwazi wadau!
Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
Mama mkwe mwanao amekolea kwa kiwango ambacho sikutarajia. Hata mimi nimemwelewa sana tu japo nimeweka akiba ya baadae kabla sijafanya maamuzi ya kumpiga pingu za maisha.
Lakini sasa kunichunguza ameanza kuzidi. Yaani inafika wakati saa nane za usiku nastuka namkuta anapekua simu zangu, anazama...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.
Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.
Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.
Sababu kubwa ni kua...
Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote.
Furaha yangu ilibadilika na kugeuka machungu baada ya mume wangu kwenda masomoni nchini Uingereza kisha mama...
Mimi ni Mwanaume 28yrs mkurya nilivyofika Dar nilikutana n'a bint mmoja nikamtongoza akakubali.
Huyu binti (21yrs) ni mgeni Dar from mkoa X nyanda za juu kusini anaishi kwa shangazi yake Dar
Hakuwahi kuniuliza Kabila nahisi alijua mimi ni from dar /pwan
kwasababu Mimi Sina ukabila...
Habarini za usiku wapendwa
Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.
Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa...
Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.
Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga.
Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu...
Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo.
Ni kama miezi miwili nikagundua ile mahari milioni 5.7 ilikuwa dogo sana, nafaidi sana kwa...
Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo.
Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linawashikilia Joyce Julius na Juma Charles (wanandoa), kwa tuhuma za kumuua mama mkwe wao Butamo Igionzela (70) ambaye ni mama mzazi wa Joyce mkazi wa Bungezi kata ya Ihanamilo wilayani Geita wakimtuhumu kumuua mtoto wao kwa njia ya kishirikina.
Akiongea na...
MWANDISHI: INNOCENT
Tulianza mapenzi yetu tangu tukiwa secondary na hatukuishia hapo penzi letu lilifanikiwa kufika mpaka chuo kikuu pale mzumbe tawi la mkoa wa Mbeya mungu mwema na hatimae tukaoana.
Lakini kama ningevizingatia vijitabia flani vidogo vidogo alivonionesha mume wangu Terry enzi...
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.
KOSA lake / TUHUMA yake ni
KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.
Na tayari ORDER...
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona...
Habari ya weekend JF.
Mpenzi wangu nimempa ujauzito.
Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu.
Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo.
Sasa leo asubuhi...
NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI
Anaandika, Robert Heriel
Loveboy
Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18!
Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.