Hii ndiyo Tuhuma aliyokutwa nayo Mfanyabiashara Katili Cherehani huku akiwaponza Mama Mkwe na Mkewe aliye Mjamzito

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.

KOSA lake / TUHUMA yake ni

KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.

Na tayari ORDER imeshatoka kwa RPC wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam kuwa Kosa hilo halina MDHAMANA.

Lingine ni kwamba Mkewe Mfanyabiashara Bwana Cherehani aitwae Mama Zai ( ambaye ni Mjamzito ) nae amejumuishwa katika Kesi hiyo na sasa Yeye na Mumewe huyo Mpumbavu, Mshamba na Mwendawazimu wako Ndani Kituo cha Police cha Oysterbay.

La mwisho ni kwamba Mama Mkwe wake Mfanyabiashara Bwana Cherehani ( ambaye ni Mama Mzazi wa Mke wa Bwana Cherehani ) aitwae Mama Zai nae amejumuishwa katika Kesi hiyo hiyo ya Mkwewe na Mwanae ( Binti yake ) na kwa sasa yuko Kituo cha Police Kawe na muda wowote kuanzia sasa atapelekwa Kituo cha Police cha Oysterbay.

Kwanini Mama Mkwe wa Mfanyabiashara Bwana Cherehani ( Bi. Zai ) amejumuishwa katika Kesi hii?

Ni kwamba Siku ya Tukio baada ya Mgoni Bwana Muba kuweka Kati ( Kufumaniwa ) Nyumbani Kwake Mfanyabiashara Bwana Cherehani ni kwamba Mama Mkwe ambaye pia ana Undugu na Mgoni Muba na pia ni Binamu wa Mke wa Mfanyabiashara Bwana Cherehani aitwae Mama Zai katika Hali ya Kushangaza na Kusikitisha alipoulizwa na Mkwewe Mfanyabiashara Bwana Cherehani kama anamjua Mgoni Muba aliruka Kimanga na Kujibu kuwa hamjui na Kuwaambia wamfanye Watakavyo ndipo Mfanyabiashara Bwana Cherehani kwa Kushirikiana na Mdogo wake aitwae Mpele na Watu wengine Watatu wakaamua Kumjeruhi vibaya Mgoni Muba kwa kuanza kumwambia avue Nguo zake zote kisha Mfanyabiashara Bwana Cherehani mbele ya Mama Mkwe wake ( mwenye Undugu na Mgoni Muba ) akishuhudia na kuanza Kumkata Sikio, Kidole kisha kuviweka katika Kitambaa cha Handkerchief na kumalizia pia na Kumchanja Shingoni kwa Wembe Mkali Mkewe Mama Zai ambaye kwa sasa ni Mjamzito.

Haya wale Wapumbavu na Wendawazimu mliokuwa mnamtetea huyu Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani tafadhali endeleeni Kumtetea ila wenye Akili na tuliofanya Consultations kwa Legal Gurus tumehakikishiwa kuwa Mfanyabiashara Bwana Cherehani ameharibu sana, anaenda kupotea na Kuozea Jela na kwamba hana Angles za Kujitetea ili ajinasue pamoja na kwamba huwa anajisifia kuwa ana Waganga wengi Wazuri kutoka Bagamoyo, Mbagala, Kwao Mtwara na waliko Mababu zake wa Ukoo Msumbiji kwa Wamakonde Wenzake.
 
ETI MFANYABIASHARA KATILI🤣🤣🤣
MBONA KAMA INAONEKANA UNA KISA NAE???
 
Kumtetea huyo mgoni muba unapaswa kwanza nati kadhaa kichwani zing'oke.

Kitendo Cha kumtembea na MKE wa mtu,
Tena nyumban kwako na kwenye kitanda chako unacholala na mkeo hiyo Ni dharau kubwa Sana na iliyopitiliza.

Sitetei alichofanya bwana cherehan,
Ila mnaomtetea bwana muba nanyi mjitafakari Sana mngevaa viatu vya cherehani
 
Kumtetea huyo mgoni muba unapaswa kwanza nati kadhaa kichwani zing'oke.

Kitendo Cha kumtembea na MKE wa mtu,
Tena nyumban kwako na kwenye kitanda chako unacholala na mkeo hiyo Ni dharau kubwa Sana na iliyopitiliza.

Sitetei alichofanya bwana cherehan,
Ila mnaomtetea bwana muba nanyi mjitafakari Sana mngevaa viatu vya cherehani
Mke wa mtu hana alama. Huyo mwanamke amebakwa? Wangapi wanawake uliwatongoza wakakutaa? Uliwalazimisha ukawapige mashine?

Mm hata nimkute jamaa anamkunja mke wangu siwezi kumpiga wala kumfanyia kitu chochote maana hajabakwa ametoa mchezo mwenyewe.

Mwanamke akiamua kutotoa papuchi hata km ni mkeo mpo wawili usiku huwezi kumpiga mashine.

Huyo jamaa msengerema sana. Siku akienda jela ndiyo atajua alichokuwa anafanya ni ujinga wa kiwango cha PhD.

Utagombana na wangapi kwasbb ya mwanamke? Anaenda jela mwanamke amemuacha uraiani halafu wana wanajipigia. Huu ujinga siwezi kufanya
 
Back
Top Bottom